Utamtambuaje mwanamke aliekeketwa?

Kumtambua rahisi mbona kama ni mzamiaji wa soltin lakini. Niliwahi kukutana nae mwaka juzi! hamu kwa walokeketwa naona kama iko juu kama wengine kwa sababu alikua na Nye** na hakukawia kufika mount Kilimanjaro na bado alikua anahitaji mara kwa mara. Tuliachana ingawa sio sababu ya kukeketwa kwake.
 
Google picha ya K ya normal female ,i print,siku ya tukio ishike mkono wa kushoto afu mkono wa kulia uwe unachambua K ya bidada ukilinganisha na picha uloprint.afu uje utupe feedback
 
Google picha ya K ya normal female ,i print,siku ya tukio ishike mkono wa kushoto afu mkono wa kulia uwe unachambua K ya bidada ukilinganisha na picha uloprint.afu uje utupe feedback

kweli una mawazo
 

Mtwara na lindi…!!!??? sio kweli bhana,tofautisha unyago na kukeketwa, kusini kuna UNYAGO yaan unawekwa ndani kwa muda na kufunzwa kujitunza,usafi wa mwili kama msichana hasa sehemu husika,heshima na vitu vingine vingi tu,lakini hakuna UKEKETAJI mi nakataa kabsa.
 
ila waliokatwa wengi hawakuruhusu uangalia apo chini wakoje wanakua wasiri sana na ww kuwaona halafu kuhusu mzxuka kwa kweli wengi wao wanazuga kua wanamzuka kumbe wanavunga tu hamna kitu dalili ya kwanza ukikutana na anayejitaid usimuone uko chini jua kuna tatizo!!!
 

Huwa hataki ushike papuchi yake kwa mkono.


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Nina wasiwasi kama unajua kwa hakika maana ya neno 'exclude'. Kwa maana nyingine ktk mkoa wa Tabora, Tabora mjini na Uyui wana keketa siyo?
 
mbona rahisi tu si unamuuliza mpenzi wako..muulize hivimy loveeee umekeketwa atakujibu tu hakuna haja ya kutumia njia ndeeeeeeefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…