Utamtambuaje kama ni rijali?

Binti yangu Ladyfurahia em nip ufafanuzi vizuri hapo.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Itabidi shababi mmoja atujie na thread ya namna ya kumjua mdada mwenye majambo mazuri.. 🙂 😀
 
Asante mamito ila thread hii imekaa mtindo wa fumbo hivyo ndo maana imewapa taabu kuielewa nitajitahidi kufanya hivyo ili marafiki muelewe zaidi kinachosemwa usijali bestito hata naona wewe umevumbua fumbo hilo
nothing ladyfurahia..halafu uwe unazilainisha jumbe zako bana ...zikiwa ngumu inatupa shida kidogo kuelewa
 
Ussijali rafiki ngoja nikufafanulie kidogo

Nilikuwa nawapa somo wadada wenzangu ambao wao wanaona fahari kuwa na mtu ambaye hajishughulishi, na wengine wanaona wale ambao wako flesh ndo bomba kumbe hawajaingia ndani na kuona matatizo ya hao watu.

kinngine nilikuwa nawafunda wale ambao wanapenda kujitolea wakati bado haujafika wakati wa kujitolea bado haujafika yaani wanajipelekesha kwa hao ambao ni bazazi bila hata kukaribishwa, na mwishoe wanakuja kujuta na kulia wakati wameshachezewa hawaonekani na uthamani wowote sijui hapa umeshanielewa au la?

Ladyfurahia wengine sisi wazito kweli kuelewa, shule hamna tunafanya udalali tu huku mjini. umetumia maneno magumu mengi, nimerudia mpaka kichwa kimeniuma.
 
Ussijali BABA ngoja nikufafanulie kidogo

Nilikuwa nawapa somo wadada wenzangu ambao wao wanaona fahari kuwa na mtu ambaye hajishughulishi, na wengine wanaona wale ambao wako flesh ndo bomba kumbe hawajaingia ndani na kuona matatizo ya hao watu.

kinngine nilikuwa nawafunda wale ambao wanapenda kujitolea wakati bado haujafika wakati wa kujitolea bado haujafika yaani wanajipelekesha kwa hao ambao ni bazazi bila hata kukaribishwa, na mwishoe wanakuja kujuta na kulia wakati wameshachezewa hawaonekani na uthamani wowote sijui hapa umeshanielewa au la?
Binti yangu Ladyfurahia em nip ufafanuzi vizuri hapo.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nimekuelewa Ladyfurahia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…