Kwa mfano unaweza kumwambia lecturer anayefundisha mbele ya darasa?Mbona tulipokuwa chuo tulikuwa tunawaambia madada wa kutoka shamba walioamua kuendana na wakati kwa kuvamia.
Kwa vile si kawaida yake kuvaa suruali siku za mwanzo wengi wanasahau kufunga zipu.
Tatizo hasa linakuja we ukimwambia sometimes ndo unawafanya watu wajue
simwambii maana huwa tunaacha upepo upunguze joto na hasira
tumeseme lecturer,pastor au mc,yupo mbele ya watu wengi na kasahau kufunga zipu.
Utamsaidiaje?
simwambii maana huwa tunaacha upepo upunguze joto na hasira
naandika kinote nampa ka ni lecture