mwambie ajaribu ushauli huo alio pewa na ktk hilo ata pata maarifa mengine yanaweza kuboresha hiyo biashara au atapata biashara nyingine.
Biashara inachangamoto so ajitahidi azishinde .
MUNGU AMTANGULIE ATAWEZA
Mwambie ajaribu ushauli huo alio pewa na ktk hilo ata pata maarifa mengine yanaweza kuboresha hiyo biashara au atapata biashara nyingine.
Biashara inachangamoto so ajitahidi azishinde .
MUNGU AMTANGULIE ATAWEZA
yaan wewe acha tu sijui ulikuwa wapi bhanaaaa.. huyo boya Rweyemamuu alikuja hapa akamwaga siri ya mtungi.....nkajua hutarudi tena kwa kuwa hukukanusha aliyoyasema.....mdada kwa kwel at ulipagawa na maswag yake ya mbele akakunaniii looooh......