Swali la msingi ni kwamba; je, hiyo form four yake imemuwezesha kuwahenyesha manyumbu au imeshindwa?!!! Kama imemuwezesha kuwa Kiboko ya manyumbu basi hivyo ndivyo tunavyotaka watanzania wazalendo na 2030 tutamleta form four mwingine amalizie palipobaki.Rais form four failure kupata kutokea Tz
Kutuletea maaskari kutoka Uganda kuja kuua watu Oktoba 29,2025.Inawezekana akafika mwisho wa term yake hapo 2030
Je kuna yapi ambayo wewe unadhani atakumbukwa kwayo.
Yawe mabaya au mazuri
Uwanja ni wako