Utamkumbuka Samia kwa yapi?

Inawezekana akafika mwisho wa term yake haramu hapo 2030
Je kuna yapi ambayo wewe unadhani atakumbukwa kwayo.
Yawe mabaya au mazuri

Uwanja ni wako
uuaji/mauaji ya
1. watu wasio na hatia
2. Demokrasia
3. Watanganyika
4. kuteka watu
5. Kupoteza watu
6. Kuua uchumi
7. Kuua elimu
8 ....................................and many many others
 
Kafungua milango ya elimu, Diploma wanapata boom siku hizi,

Samia scholarship inawafunulia milango masikini wenye vipaji,

Chini ya mradi wa HEET vyuo vimepata miundombinu mbali mbali na kuongeza huduma na ufanisi,

Mitaala mipya imeletwa(japo changamoto hazikosekani) ila nimefurahi naona hata vitoto vya darasa la 3 vinasoma TEHAMA.

Fimbo zimepigwa chini...

Mazuri ni mazuri, na yanastahili pongezi.
 
Kaifungua nchi kwa falsafa ya 4R
Royal tour na kuifanya sekta ya utalii kukua
Mikopo kwa vijana
Kuanza kwa mradi wa reli ya mwendokasi
Raisi wa kwanza wa kike
Uwanja wa ndege msalato
Viwanja vya mpira na sasa Afcon inakuja
Bwawa la farkwa na kidunda moro na dom
Vyumba vya madarasa 15,000 nchi nzima
 
Inawezekana akafika mwisho wa term yake hapo 2030

Je kuna yapi ambayo wewe unadhani atakumbukwa kwayo.

Yawe mabaya au mazuri

Uwanja ni wako
 

Attachments

  • 6434898-d938fd988110fe48c096cb7aaa205436.mp4
    1.8 MB
  • 6435098-abb99c07aef9c099d853952cab0808ca.mp4
    16.9 MB
  • 6434469-4de9a3fdab5d7b1d2b6613488e18e647.mp4
    5.5 MB
  • 6430389-d12adf35947264b1f3236c4606b60929.mp4
    6.1 MB
  • 6430104-0863ef035ae486528faa91d42e39f57d.mp4
    9.5 MB
  • 6429167-4379e723897040c642f3e3d6da3950de.mp4
    37.1 MB
  • 6426964-ff82bd20ddf42b38061eec154aa6009d.mp4
    13.5 MB
Ukiachia mbali hayo ongezea pia atakumbukwa kwa damu zilizomwagika wakati wa uchaguzi ambapo watu wengi waliuawa na wengine hadi leo familia zao hazijapata miili ya ndugu zao

Pia, kutekwa na kupotezwa kwa watu wote waliojaribu kumkosoa au kupinga utawala wake

Tuhuma za ufisadi na matumizi ya fedha za umma huku kukiwa na madai na ushahidi unaotajwa kuhusu mwanawe kipenzi yule Waziri wa Ulinzi mwanamke na mkuu wa majeshi
Ushahidi uliwekwa hadharani

Pia, mikopo mikubwa aliyoingia pamoja huku kukiwa hakuna miradi ya maendeleo inayoonekana kutokana na pesa za mikopo hiyo na mengine mengi 🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…