Kuna mtoto flani ninayepunguzia ugwadu kwake. Huyo mtoto ni mzuri jamani ila sasa juzi nimekaa nae kumbe kashapigwa mimba na mbabu flani ila hataki kuzaa nae so akaamua ku abort.
Siku ameniita ni siku amebugia midawa ya kufyatua mzigo i was so suprised aisee, nilichoweza kumsaidia ni kumuongezea Sanitary Pads tu.
Katika Story story ananiambia ila ametoa mimba kwa staili karibia zote na hii rekodi ya sasa itakuwa mimba ya 7 kutoa. Alianzia Zenji alipokua anafanya kazi ya hoteli. Aisee nilibaki mdomo wazi na kuona kumbe kuna watu wana roho ngumu aisee. Mimba 7?