Utamjuaje mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako?

Ukitoa toa bila kukumbuka... Usitoea kitu huku ukisubiria malipo...

Don't expect to much from anyone you will be disappointed if things wont go well...

Alafu nyota njema huonekana asubuhi.. You can never keep a man who doesn't want to stay or been kept... Mwanaume mwenye nia na wewe... Bila hata kutumia akili nyingi mwenyewe atatulia kwako...

I love my mahondaw so much... I have decided to stay only with her... In bad and good.. In better and worse in pain and pleasure...

Cc: mahondaw

Yeah Baki na mimimimi Smart911 wangu nakupenda mnooooooooo
 
Kwa kifupi ni kuwa mkweli siku zote, kumheshimu, kujiheshimu na kuonyesha penzi la kweli. Usisubiri kuonyeshwa penzi la kweli wakati mhusika hufanyi hivyo. Mchango wangu wa senti kumi huu.

Inategemea na aina ya mwanaume uliyenaye wapo wengine hata bila kupewa hiyo mbunye huwa wanaoa japo kwa miaka ya sasa ni ngumu kwa kweli.

Hayo ya kusema kumkamata huwa hakuna dawa ni maamuzi ya huyo mwanaume akiridhika na unachompa anaweza akatulia.

Hilo la kuendekeza ngono ni tabia ya mtu na kama anayo huwezi kumzuia hata siku moja.
 
2) Hivi ni kweli mwanaume kama anakupenda anaweza kukuoa bila hata kumpa mbunye?

NDIYO, INAWEZEKANA KABISA MWANAUME KUKUOA BILA KUFANYA NGONO LAKINI LAZIMA KUWE NA SABABU YA KUFANYA HIVYO

3) Je nikitaka kumkamata mwanaume asiniache nimfanyeje? Mfano mbunye nilishampaga akaona na anasifia na kuomba sasa ukimbania anaweza akaondoka? Au kama kakupenda anaweza kukuoa kama kuiona si kaiona na anaijua.

NGONO SIO KIGEZO CHA MWAUNAUME ASIKUACHE, KUNA VITU VINGI MBALIMBALI VINAMFANYA MWANAUME ABAKI NA WEWE, HIVYO VITU VINGINE HATA NI NJE YA UWEZO WAKO. KIKUBWA NI KUYAFAHAMU NA KUKIDHI MATARAJIO YAKE YAANI HATA UFANYEJE BADO KAMA HUTAKIDHI MATARAJIO YAKE HATAKAA

4) Kwanini wanaume wanaendekeza kupenda ngono ovyo?....

WANAUME KATIKA MIILI YAO WANA HORMONES KITAALAMU ZINAITWA TESTOSTERONE. HIZI NI HORMONE ZINAZOCHOCHE MWANAUME KUWA NA HAMU, NGUVU NA UWEZO WA KUFANYA NGONO MARA KWA MARA. WANAUME KWA ASILI WAMEUMBWA KAMA WAZALISHAJI, NA TENDO LA NDOA NI KICHOCHEO KIKUBWA CHA KUTUNGA MIMBA NA HATIMAYE KIUMBE KUZALIWA.
Shukrani
 
Ni wanaume wachache sana tunaovumilia kutokugegeda hadi ndoa...

Tabia ya kudokoa na kuonjaonja kujua ladha/utamu hiyo ni ya mtu binafsi (mazoea) kwa hiyo kama ulimzoesha na hukuonesha msimamo tangu mwanzo, ndio tabia hukua siku hadi siku..
Kuna mmoja nlimpata nkawa tayari kuoa bila hata kumgusa na sinaga ustaarab huo maana nshashuhudia wengi tu mwisho wa cku wakilia na kuonekana mafala nkawa npo nae kimachale kwamba lolote laweza kutokea namhudumia fresh kwa kutaraji ni mke mtarajiwa nlipoanza kuona sielewi elewi sikutaka hadi nione damu kujua km kweli nimeumia tartiiiibu nkajiweka pembeni bila ugomvi now kakutana na wahuni bila mbunye hawaelewi somo kuhudumia pia sifuri kaanza kunipigiapigia nacheeeeeeka akili ndogo sana hawa viumbe ukiwa mstaarab lazma akugeuze lofa kumbe cc wengne tumeamua tu kubadilika kuacha maisha ya zmn tuoe tufanye maisha umri unaenda!
 
Kuna maswali najiuliza sipati jibu, hivi utamjuaje mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako ambaye atakuoa?

1. Unaweza ukampa mbunye akabaki kuisifia na kuitaka kila siku ila asioneshe dalili ya kuoa.

2. Hivi ni kweli mwanaume kama anakupenda anaweza kukuoa bila hata kumpa mbunye?
Lazima aisifie ili ummpe kila anapohitaji. Na wewe ukisifiwa bichwa hilo bila kutafakari nini sababu ya kusifia huko. Asiposifia anajua itakula kwake.
 
2)

NGONO SIO KIGEZO CHA MWAUNAUME ASIKUACHE, KUNA VITU VINGI MBALIMBALI VINAMFANYA MWANAUME ABAKI NA WEWE, HIVYO VITU VINGINE HATA NI NJE YA UWEZO WAKO. KIKUBWA NI KUYAFAHAMU NA KUKIDHI MATARAJIO YAKE YAANI HATA UFANYEJE BADO KAMA HUTAKIDHI MATARAJIO YAKE HATAKAA
Sure!
 
Kuna mmoja nlimpata nkawa tayari kuoa bila hata kumgusa na sinaga ustaarab huo maana nshashuhudia wengi tu mwisho wa cku wakilia na kuonekana mafala nkawa npo nae kimachale kwamba lolote laweza kutokea namhudumia fresh kwa kutaraji ni mke mtarajiwa nlipoanza kuona sielewi elewi sikutaka hadi nione damu kujua km kweli nimeumia tartiiiibu nkajiweka pembeni bila ugomvi now kakutana na wahuni bila mbunye hawaelewi somo kuhudumia pia sifuri kaanza kunipigiapigia nacheeeeeeka akili ndogo sana hawa viumbe ukiwa mstaarab lazma akugeuze lofa kumbe cc wengne tumeamua tu kubadilika kuacha maisha ya zmn tuoe tufanye maisha umri unaenda!

Aisee sasa hivi anakutafuta balaa...we huna habari nae...hawa watu noma sana
 
Kwa kifupi ni kuwa mkweli siku zote, kumheshimu, kujiheshimu na kuonyesha penzi la kweli. Usisubiri kuonyeshwa penzi la kweli wakati mhusika hufanyi hivyo. Mchango wangu wa senti kumi huu.
Asante , nimekuelewa sana mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
2) Hivi ni kweli mwanaume kama anakupenda anaweza kukuoa bila hata kumpa mbunye?

NDIYO, INAWEZEKANA KABISA MWANAUME KUKUOA BILA KUFANYA NGONO LAKINI LAZIMA KUWE NA SABABU YA KUFANYA HIVYO

3) Je nikitaka kumkamata mwanaume asiniache nimfanyeje? Mfano mbunye nilishampaga akaona na anasifia na kuomba sasa ukimbania anaweza akaondoka? Au kama kakupenda anaweza kukuoa kama kuiona si kaiona na anaijua.

NGONO SIO KIGEZO CHA MWAUNAUME ASIKUACHE, KUNA VITU VINGI MBALIMBALI VINAMFANYA MWANAUME ABAKI NA WEWE, HIVYO VITU VINGINE HATA NI NJE YA UWEZO WAKO. KIKUBWA NI KUYAFAHAMU NA KUKIDHI MATARAJIO YAKE YAANI HATA UFANYEJE BADO KAMA HUTAKIDHI MATARAJIO YAKE HATAKAA

4) Kwanini wanaume wanaendekeza kupenda ngono ovyo?....

WANAUME KATIKA MIILI YAO WANA HORMONES KITAALAMU ZINAITWA TESTOSTERONE. HIZI NI HORMONE ZINAZOCHOCHE MWANAUME KUWA NA HAMU, NGUVU NA UWEZO WA KUFANYA NGONO MARA KWA MARA. WANAUME KWA ASILI WAMEUMBWA KAMA WAZALISHAJI, NA TENDO LA NDOA NI KICHOCHEO KIKUBWA CHA KUTUNGA MIMBA NA HATIMAYE KIUMBE KUZALIWA.
Asante kwa majibu yako mazuri
 
Aisee sasa hivi anakutafuta balaa...we huna habari nae...hawa watu noma sana
Nlipanga nimuoe mwezi wa 10 akimaliza chuo nimeghairi cjui kwann mtt wa kike ukimpenda sana anakuwa mngesemngese now haamini the way nlivyompenda alikuwa na hakika kabsaaa cwezi pangua kwake kumbe alikuwa anajiongopea cc wengine ndio tpo hv tukipenda hatuwezi jizuia tunapenda haswaaaaaa ila tukigeuka hutoamini!
 
Back
Top Bottom