Utamjuaje mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako?

Utamjuaje mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako?

Nlipanga nimuoe mwezi wa 10 akimaliza chuo nimeghairi cjui kwann mtt wa kike ukimpenda sana anakuwa mngesemngese now haamini the way nlivyompenda alikuwa na hakika kabsaaa cwezi pangua kwake kumbe alikuwa anajiongopea cc wengine ndio tpo hv tukipenda hatuwezi jizuia tunapenda haswaaaaaa ila tukigeuka hutoamini!
Pole sana ila cheza kamari nyingine maana hawa wanawake wapo km samaki,chamuhimu nikutega ndoano vizuri.
 
kama nwanaune hana nia ya kukuoa hamna lolote utalifanya kubadilisha mawazo yake..umpe hiyo mbunye hata mara mia but if he doesnt intend to marry you he wont..cha msingi nikusubiri tu bila hata ya kushinda ukilegeza kiuno kwa kila akutongozaye...



ila nahisi wewe sio mwanamke maana uteuzi wa maneno uliofanya katika stori hii ni wa kimwanaume..samahani lakini
 
Nlipanga nimuoe mwezi wa 10 akimaliza chuo nimeghairi cjui kwann mtt wa kike ukimpenda sana anakuwa mngesemngese now haamini the way nlivyompenda alikuwa na hakika kabsaaa cwezi pangua kwake kumbe alikuwa anajiongopea cc wengine ndio tpo hv tukipenda hatuwezi jizuia tunapenda haswaaaaaa ila tukigeuka hutoamini!
Nadhani itakuwa funzo
 
Pole sana ila cheza kamari nyingine maana hawa wanawake wapo km samaki,chamuhimu nikutega ndoano vizuri.
Ah...km mungu alipanga ntaoa bc ntaoa cna haja ya kufosi ntaoa by coincidence napenda sana kuwa na mke tatzo midubwana yenyewe haieleweki!
 
Maadili ya ndoa jando ama unyago sikuhizi hakuna, ama ni tamaduni zilizopitwa na wakati, lkni zilisaidia sana kwa vijana hasa wanapotaka kuingia ktk maisha ya ndoa.
Zamani ilikuwa ni mwiko "kutembea" na mchumba wako.
Hiyo ilikuwa ni kulinda uthamani wa msichana.
Msichana ukiishakugawa hazina yako, unategemea nini toka kwa huyo mwanaume?
Je ataendelea kuwa na "muhu" wa kukupata wakati cha muhimu alishakipata?
Ni mengi ya kukueleza, lakini kifupi mwanamke ama mwanaume unayeanza mahusiano kwa kupiga naye umalaya, hafai katika ndoa.
 
Kwa hiyo ni ilo tu unakazania kumpa na ndio unataka kuonyeshwa anakupenda!? ..na yale mengine mengi tu unayatenda?
 
Unapewa sifa ili kupumbazwa uendelee kutoa km karanga me nkijua uko vzr ckwambii usje vmba bchwa ukanilingia buree xo nafanya harakat tu kuoa kbs
 
Habari wanajamvi,

Kuna maswali najiuliza sipati jibu, hivi utamjuaje mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako ambaye atakuoa?

1. Unaweza ukampa mbunye akabaki kuisifia na kuitaka kila siku ila asioneshe dalili ya kuoa.

2. Hivi ni kweli mwanaume kama anakupenda anaweza kukuoa bila hata kumpa mbunye?

3. Je nikitaka kumkamata mwanaume asiniache nimfanyeje? Mfano mbunye nilishampaga akaona na anasifia na kuomba sasa ukimbania anaweza akaondoka? Au kama kakupenda anaweza kukuoa kama kuiona si kaiona na anaijua.

4. Kwanini wanaume wanaendekeza kupenda ngono ovyo?
Achia utamu ungoje probability..[emoji41] [emoji41]
 
Amin amin nawaambieni, mwenzi mwema wa maisha atoka kwa Mungu kwa maana moyo wa mtu ni kama kichaka na hakuna awezaye kuona yaliyomo moyoni mwa mtu isipokuwa Mungu pekee.
 
Hakuna formula wengi ni pretender now days leo atakusifia kesho atakukandia so is better ukajipenda mwenyewe tu cz hayo mambo ya kumjua mtu akupendae cjui nn ni kujichosha na kupoteza time,kama wataka kuolewa relax muoaji atapojitokeza utaelewa wala hakuna haja ya kuhangaika kias hicho.
 
Back
Top Bottom