Nisolve vipi sasa mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mcharaze viboko, atakapokimbilia ndo huko huko atokapo.
Hata kama amefanana vipi na mama, utajua tu. Anaweza kufanana nae sura na umbo. Lakini kucha za dole gumba (mguuni) zikawa kama zakoNa vipi kama nikimtazama sana naona kafanana sana na mam yake kwangu nitatambua vipi mkuu?
Kuna bibi mmoja kazi yake kukagua nyuchi watoto zimekaaje,akimaliza utasikia "huyu wetu"Kila koo/familia huwa na vitu ambavyo ni vya kurithi kimaumbile. Wahusika huvijua japo mtu wa nje hawezi viona. Mf. Kucha, vidole, maumbile ya uzazi na vinginevyo. Kwa hiyo kila kinachoitwa "damu yao" huwa na hiyo/hizo feature.
Huku mikoani ndo zinatumika hizo. Mashangazi na mabibi wapo vizuri kwenye hilo. Huweza kujifanya wanaenda kumsabahi alojifungua kumbe wanacheck DNA. Na huwa hakuna kukosea katika hilo.
Kama mwana hana hivyo vitu basi si wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba maji ya kunywa mkuuMcharaze viboko, atakapokimbilia ndo huko huko atokapo.
Hata hesabu hujui alipopata ujauzito? Au mlikuwa wengi?Nitamuulizaje na kakaza kwamba ni chalii yangu na mimi sina imani na huyu dogo nahisi nimepigwa kerbu ya uso.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wewe sasa umefika mbali duu kwahiyo kazi yake kupekenyua tu watoto mweeKuna bibi mmoja kazi yake kukagua nyuchi watoto zimekaaje,akimaliza utasikia "huyu wetu"
GTNjia rahisi ya kutambua mtoto wa kuzingiziwa, kwanza umtambue mtoto ambaye si wa kuzingiziwa, ukiweza hilo basi utamtambua huyo wa kusingiziwa.
Ndo kazi yake[emoji3]mfano mtoto kazaliwa kwenye hiyo familia akipelekwa kwa uyo bibi,bibi anamfukunyua uchi weee akimaliza anatoa jibu[emoji3]Ila hajawahi kusema huyu sio wetu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wewe sasa umefika mbali duu kwahiyo kazi yake kupekenyua tu watoto mwee
Hii inawalenga watumiaji wa vitanda tu.Kitanda hakizai haramu
Nenda kapime DNA halafu mtoto ambaye sio wako ukimshika analia kila siku hana raha na wewe mtoto wako ukimshika hata kama hajakuzoea hali ovyo atalia kidogo tu akijua ni babae ananyamaza sasa ambaye si wako analia hakutaki kiufupi.Ukitoa Vipimo vya DNA ni kwa jinsi gani unaweza kutambua kwamba mtoto huyu siyo wako umesingiziwa au kwa kiswahili wanasema umepigwa ?
Couze kuna chalii sina imani nae wakuu.