Subiri afikishe miaka minne, ukimcharaza utapafahamu kwao 100%.umenifanya nimecheka kwenye jambo serious sasa dogo mwenyewe ndio kwanza kana mwaka nikikachapa katakimbilia nini ?
Ukitoa Vipimo vya DNA ni kwa jinsi gani unaweza kutambua kwamba mtoto huyu siyo wako umesingiziwa au kwa kiswahili wanasema umepigwa ?
Couze kuna chalii sina imani nae wakuu.
Si bei ghari, pia ni dawa mujarabu.Miaka yote niwe nakaa nae kwa mashaka mashaka tu mkuu?
Uskonde huyo atakua ni mtoto wa mke au mwenzi wakoNa vipi kama nikimtazama sana naona kafanana sana na mam yake kwangu nitatambua vipi mkuu?
Huu msala ukiisha salama kwa mwanamke anyejielewa ujue hapo ndio mahusiano yameisha.Nitamuulizaje na kakaza kwamba ni chalii yangu na mimi sina imani na huyu dogo nahisi nimepigwa kerbu ya uso.