Utamfanyaje mtu anayeongea kwa sauti kubwa!

Utamfanyaje mtu anayeongea kwa sauti kubwa!

huenda hasikii vizuri . kwani hiyo ni ni moja
ya dalili za uziwi/kutosikia vziri
 
Huyo ana matatizo ya kusikia hivyo anahisi wote hamsikii au anatoka kwenye utamaduni wa watu wanaoongea kwa sauti za juu kama wasukuma,wanyakyusa e.t.c
Aisee kuna rafiki yangu hata tukiwa wapi hawezi kuongea kistaarabu kwa sauti ya chini,yaani hata kama kuna watu wengi unaona kabisa anaboa.Na ukimwambia haelewi ni kama unamwudhi tu ukimpa ukweli,kwa mliokutana na watu kama hao huwa mnachukuliana nao vipi?
 
Hili ni tatizo na watu wa namna hii hawanaga siri kwenye kuongea.

Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa hajatulia kabisa kwenye ndoa. Siku moja tukiwa naye kwake nyumbani na familia yake tumekaa sebuleni simu ikapigwa. Jamaa kachukua simu faster katoka barazani kuongea. Kumbe kuna kademu kamemdanganya kana mimba yake akawa anatoa matunzo kumbe demu kampiga changa la macho ili azikusanye za kutosha.

Jamaa alivotoka nje akapayuka kwa sautikubwa sana akidhani ananongona. " Switie umenidanganya una mimba yangu nimekuhudumia muda wote kumbe umenidanganya" Nilikuwa na watoto wake na mkewe sebuleni ilikuwa aibu. Kilichoendelea baada ya hapo ngumu kuelezea.

hahhaha,bila shaka palichimbikaa
 
Kama vipi chukua simu yake halafu toboa spika kwa pini au msumari atakuwa ameachana na utoto huo.
 
Back
Top Bottom