Ishu inakuwa pale mkifika sehemu ambalo pako tulivu na watu wabaongea kistaarabuUmeongea kama mdhaha lakini hili linakela sana, ndugu yangu mmoja yeye akija nyumbani kwangu anaanza kunisemesha tangu yuko nje ya fensi wakati geti liko wazi yeye kuingia mimi huwa simwitikii.
Akipigiwa simu ndio balaa tupu utafikiri mtangazaji wa mpira
Umenikumbusha enzi cjaolewa kuna kaka mmoja alikuwaga anantongoza ila alianzia kweny kabla hajapata nafasi ya kukaa na mm anishushie mistari face2face, bwana cku niliyokutana nae nilijuta kila aliekuwa eneo lile alijua natongizwa huwa siisahau ile aibu
mkuu huyu jamaa yako
anatatizo la kutopata
mshindo nyuma wa sauti
yake (acoustic feedback)
kitaalam, hivo anaamini
wote hamsikii, huo ni
ulemavu wa masikio hivyo
anahitaji kupimwa na
kusahiwa hearing aid
divice, .
Na inakera zaidi ukute umepiga white shirt yako safi jitu linakuchafuwa kwa kukushika.Mimi kuna rafiki yangu mmoja yeye ni sauti juu na vibao anakupiga.Yaani kila maneno kumi unakula vibao,vya mgongo,begani,pajani,kero tupu.
Na inakera zaidi ukute umepiga white shirt yako safi jitu linakuchafuwa kwa kukushika.
Yupo mwingine huyo funga kazi maongezi yakinoga ukiingia mkenge wa kugongeana naye anaweza kukuteuwa mkono, mimi huwa nauwahi mkono hukohuko juu kabla hajaushusha kwa nguvu ili kupooza speed na weight yake.
Ukshamjua mbwa jina hawez kukusumbua so unamzoea tu
Umeona ee
Wamenisaidia kukufikishia ujumbe!!!!
Ha ha haaaa sasa sauti kubwa huku anatema vimate!!!!!!
Yaani kama umekaa mbele ya sprinkler!!!!