Utambuzi wa viongozi bora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utambuzi wa viongozi bora

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Habda, Oct 7, 2010.

 1. H

  Habda New Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni bora jamii iweze kutafakari kwa kina na upeo mkubwa kwamba ivi nani hasa anapaswa kuliongoza Taifa. Swala la msingi hapa ni kumtafakari kiongozi ambae anaweza kujinadi hadharani kwa ushahidi wa wazi kuwa amelifanyia nini Taifa aliloliongoza. Vilevile kiongozi anaejinadi kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuliongoza taifa kwa kuahidi mambo kadhaa, swala la msingi hapa la kujiuliza , je ana mikakati gani inayoweza kutekelezeka na yenye uhalisia atatumia kufikia malengo yake katika kuleta maendeleo ya kweli ndani ya jamii husika.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,209
  Likes Received: 414,657
  Trophy Points: 280
  Chagua Dr. Slaa chagua Chadema. Acha tafakari za ziada. CCM yaahidi kuendeleza ufisadi na haiwezi kutuletea elimu ya bure au afya ya bure. Machaguo yapo wazi kabisa kwa sababu CCM haiko tayari kufuta misamaha ya kodi
   
Loading...