Utambulisho

Utambulisho

Mtishibi

New Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Nakupongezeni nyote mlonitangulia humu ndani kwa mada na habari motomoto za kuelimisha. Mimi mwanachama mgeni wenu naomba mnipokee, bila shaka mtanikaribisha nami ninaahidi tutakuwa sote pamoja katika kuchangia na kuchanganua mambo mbalimbali kwa ufahamu na maarifa niliyopewa na Mola kwa faida ya jamii yetu. Mbarikiwe nyote.
 
6020899568_e1b9cf46b3.jpg
 
Karibu sana Jamii Forums ni kisiwa kizuri kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom