Ana chura?Njoo ukaribishe wageni Behaviourist
Ana chura?
Shukrani kwa kuniunga kwenye hili kundi
Naomba hili la avatar za wana jf liangaliwe upya maana hizi avatar nyengine zinaleta vitenzi vikurupushi..😂Njoo ukaribishe wageni Behaviourist
Nini imekukurupua?Naomba hili la avatar za wana jf liangaliwe upya maana hizi avatar nyengine zinaleta vitenzi vikurupushi..😂
DADEKI..😅
Siku hiz giresii anamsumbuaa kichwaLe mom d
Karibu Sana Jf
Ila
Jichunge na Behaviorist
Mla vyuraa Hana dogodogo...
Wajua kabisa ila kwakuwa we ni mcheza ngonjera unataka kila kitu kisemwe hadharani! Okay iliyokurupua ni kurupio..😜Nini imekukurupua?
Karibu sana miss mom dShukrani kwa kuniunga kwenye hili kundi