Utambulisho

Utambulisho

Barieda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
1,811
Reaction score
2,483
Habarini members wote wa jukwaa pendwa, mi mgeni, nimejileta mwenyewe kwa hiyari yangu mwenyewe bila kushawishiwa na mtu yeyote naomba nikaribishwe.
 
Unatumia JF App (kama ndio mpya au ya zamani?)au browser?
 
Usije kutingoza tu humu maana ninyi mnaomaliza vyuo mnafujo sana

Karibu lkn
 
Karibu sana ila kuwa makini na JF la kuambiwa humu changanya na zako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom