Utamaduni wa wahaya na kifo cha kanumba

Mdada usikatae ndo ukweli wenyewe! hamtulii kwenye ndoa zenu! mm binafsi nimeamua kutooa uko! mifano mingi ninayo! na ukiwa umesoma ndo usiseme, ukikaa ndani ya ndoa kwa miaka 2 ni bahati! hasa wale wanaotoka mreba, kamachumu na kiziba!

Iwe Kamugisha,wanywa gaha? Embandule? Mbona unatukana kwenu?
 
Mangimeli ukitoa maoni ya jumla hapo unakosea kabisa, si wahaya wote wanajiona na vile vile si wamachame wote wako vile! tofauti ni kati ya mtu na mtu na ilivyo kwenye sura za binadamu hazifanani!
 
jamani naomba tusihusishe huamuzi wawapi azikwe kanumba na maswala ya roho za wanawake baadhi,sisi sote hatujui sababu za kutengana kati ya mama na baba kanumba,tunakosa utu kuwatuhumu wanawake wote kisa tuliona mwanamke fulani kafanya vile.Na swala la kuhusisha kabila natabia ya mtu sijui inatoka wapi? mimi nahamini mtu ubebe tabia yake,wala hakuna mtu anaye beba tabia ya kabila. Amani kwenu
 
Hivyo, naomba ufafanuzi hasa toka kwa watani zangu Wahaya katika hili hasa inapotokea misiba ni kwanini Marehemu akazikwe kwa bibi yake wakati ana kwao?

kama ana damu ya kihaya basi huyo ni wetu tu..................huo usukuma wake hatuujui na utakuta mama ndiye aliyemlea.....wababa wengi huwa ni njia kwa kiguu hadi pale wasikie mtoto wao amefanikiwa ndipo hukumbuka kuwa walizaa....mambo ya kugombea ubunge ni siasa tupu waweza kugombea popote pale ahat pale ambapo hujazaliwa ili mradi ukubalike.......
 
Anaitwa Abela kajumulo,inshort ule msiba umetawaliwa na wasanii kiasi kwamba ndugu hawana say kabisa.mama alitaka kanumba azikwe bukoba,baba shinyanga na wasanii dar.mwisho wa siku wasanii ndiyo wamefanikiwa na watazika kinondoni makaburini.kuhusu baba yeye kama aliona umuhimu wa mwanaye kwa nini ameshindwa kushiriki msiba huo mpaka sasa kama alivyofanya mama mtu? Naamini angeshiriki wangeweza familia kukaa kwa pamoja akiwepo baba,mama,dada na ndugu wa karibu kuamua azikwe wapi.ofcours baba ana haki lakini tujiulize ushiriki wake kama baba kwenye huo msiba upo wapi?
 
Kumbe frustration zinapimwa kwenye sred?

Basi hiyo ndo my very romatic language niliyoiibua uvunguni mwa moyo.

back to the topic.

Hata kama mama alikuwa wa kwanza kujulishwa, bado baba kama kapewa taarifa alitakiwa kuhudhuria tu.

Kama mzazi anaweza kuzira msiba wa mwanae inakupa idea ya aina ya mtu mwenyewe 'kisasi'

kama ana kisasi hadi cha msiba, kisasi cha kumlea kitakuwa kilikuwaje?

Kiafrika, msiba huondoa tofauti zetu hata kama ni kinafiki.

point! Huyo baba nafsi inamsuta kwanza.
 
Jamaniiii, ni nani asiyewafahamu "WAHAYA"?, ni nani asiyewajua "WAHAYA"?!, Hata baba wa taifa hayati J.K. Nyerere mpaka umauti unamfika alikuwa sio tu akiwajua "WAHAYA" bali alikuwa akiwafahamu "WAHAYA" kwa mapana na marefu vizuri sana! Nachelea kusema kwamba "WAHAYA" kwa ujumla/ umoja wao ni wa2 wa MAONYESHO, MAJIGAMBO, SIFA, KUJISIKIA & KUJUA ktk kila jambo hata pale pasipo stahiri. Mmi ningekuwa msukuma basi ningelijitahindi nioe "UHAYANI" na sio "UHAYAWANI" manake inaonekana wanapenda sana mambo hayo!
 
Mila za wahaya zinakubali mtu azikwe kwa baba yake kama ni me...kama ni ke na kaolewa basi azikwe kwa mpenzi mumewe..Mila za kiislam zinatutaka mtu akifa azikwe pale alipofia na azikwe haraka asisafirishwe kwa kua ardhi ni

ile ile tu, hii inasaidia kuepuka gharama zisizo na ulazima afu vilevile kuepuka kumsubua maiti mara huku mara kule na adha nyingine kama maiti ikianza kuharibika

Napenda Waislam wanavyorahisisha haya mambo...sio mara nini mara nini..
 
ndugu yangu wahaya sio bei rahisi kiasi hicho kama umeoa na hukuwai kufika hata kwao usitegemee kuchukua mtoto ata kumzika akifariki.

Mhhh ndugu ya kweli hayo...mbona wapo wanawake wengi tu wa Kihaya wanajiuza?wanafanya biashara haramu ya Uchangudoa?
 
kama ana damu ya kihaya basi huyo ni wetu tu..................huo usukuma wake hatuujui na utakuta mama ndiye aliyemlea.....wababa wengi huwa ni njia kwa kiguu hadi pale wasikie mtoto wao amefanikiwa ndipo hukumbuka kuwa walizaa....mambo ya kugombea ubunge ni siasa tupu waweza kugombea popote pale ahat pale ambapo hujazaliwa ili mradi ukubalike.......

WAKOLA WAITU!

Kwa nyongeza - Wenje mbunge wa Nyamagana ni msukuma au Mjaruo?
 
Nionavyo mimi Kuzikwa Dar ni vyema maana hakutakuwa na ugomvi au malumbano kuliko akizikwa Bukoba au Shinyanga.
sp DAR is a neutral place.
RIP Kanumba.
 
Taratibu mbona povu? Kutendwa na mmoja usi conclude kabila; ingekuwa hivyo basi hakuna kabila lingebaki.
Tatizo mnalalama lakini mwisho wa siku mnapigishwa magoti kuomba wake.

Jamaniiii, ni nani asiyewafahamu "WAHAYA"?, ni nani asiyewajua "WAHAYA"?!, Hata baba wa taifa hayati J.K. Nyerere mpaka umauti unamfika alikuwa sio tu akiwajua "WAHAYA" bali alikuwa akiwafahamu "WAHAYA" kwa mapana na marefu vizuri sana! Nachelea kusema kwamba "WAHAYA" kwa ujumla/ umoja wao ni wa2 wa MAONYESHO, MAJIGAMBO, SIFA, KUJISIKIA & KUJUA ktk kila jambo hata pale pasipo stahiri. Mmi ningekuwa msukuma basi ningelijitahindi nioe "UHAYANI" na sio "UHAYAWANI" manake inaonekana wanapenda sana mambo hayo!
 
Duh, mie nikizikwa Dar ntaona kama wamenitupa.

heh, utadhani mtu hana chimbuko huko kwao, hainiingii akilini.

Sema familia imeyumbishwa na wasanii kwa kukosa msimamo.

Nionavyo mimi Kuzikwa Dar ni vyema maana hakutakuwa na ugomvi au malumbano kuliko akizikwa Bukoba au Shinyanga.
sp DAR is a neutral place.
RIP Kanumba.
 
Nimeshaona wanawake wengi wanahacha watoto wao walelewe na baba walevi au mama wa kambo. Sasa kipi bora; nichukue wanangu niwalee wawe na uhakika na future au niwaache kwa baba yao waishie kuwa majambazi na machangu doa eti kisa mi mwanamke??? Big up kwa akina mama woote wanaotunza familia!!!!

halafu nahisi wanawake wa kihaya ni Tatizo.nimejionea wengi wanaachana na waume zao na kubaki na watoto.
 
Naelewa ni kwa kiasi gani watu wengi walivyokuwa na chuki na wahaya lakini wala isiwape shida,kama anakukera/inakukera ipotezee

..kimsingi kabila la wahaya lina historia yake na hata ukienda utaikuta na hii ndo kwa kiasi kikubwa inaleta shida lakini sasa utafanyaje?utawachukia watu wangapi?utawachukia wahaya wote?eti kisa walisoma (nshomile) mapema?

Binafsi naamini katika falsafa ya kupunguza idadi ya maadui na kuongeza idadi ya marafiki na ikiwezekana kila kijiji/mtaa wa Tanzania niwe na rafiki sasa wewe unaongelea bifu na wahaya,ya nini?ndo maana wengi wetu hatuendelei kazi kuhubiri chuki na fitina za kijinga kama hizi

Kwa watu waliosoma huwa tuna uzuri mmoja nao ni kupotezea (ignore),sababu huwaza rogically na mwisho mambo mengi huyapiga chini ila inavyoonesha Jf sahv ina tatizo la watu kuwa na 'simple minded ideas' ambazo ni laini kama utepe wa buibui ...GT let us urgue positively for prosperity,tuzisumbue akiri zetu jamani make tulikwenda shule kusoma siyo kwa mawazo malaini ya hivi kwenye complex matters kama hizi
 
Back
Top Bottom