The end justify the means, akiisha tangazwa na Tume kuwa ameshinda, hilo ni tangazo la mwisho wa uchaguzi, akiisha apishwa yeye ndie Rais wa JMT. This is fact!.ukiwa mkweli kwenye kizazi cha wakina Samia wewe ndiye watakushangaa. Hawa waliozaliwa miaka ya 1960’s na 1950’s ndiyo wanaamini uongo hata kama ukweli upo wazi wachache tu ndiyo wanajitambua.
Mil 2?? Man don't crack me out!!! Hata laki 1 hawafikiMillioni 15?!
Hakuna hata watu millioni 2 waliopiga kura
Be very careful. Tunakulia 'timing' tu. Mark my word!The end justify the means, akiisha tangazwa na Tume kuwa ameshinda, hilo ni tangazo la mwisho wa uchaguzi, akiisha apishwa yeye ndie Rais wa JMT. This is fact!.
Alishindaje, alipatikanaje, uchaguzi umeendeshwaje, ni uchaguzi huru wa haki au bao la mkono, it's immaterial
Tuukubali ukweli uliotangazwa hata kama ni uongo, ukiishatangazwa na Tume, uongo huo unageuka kuwa ni ukweli watu milioni 32 wamejitokeza kupiga kura, mimi nikiwemo!
P
So even if hata wakidanganya or commit miscounduct?The end justify the means, akiisha tangazwa na Tume kuwa ameshinda, hilo ni tangazo la mwisho wa uchaguzi, akiisha apishwa yeye ndie Rais wa JMT. This is fact!.
Alishindaje, alipatikanaje, uchaguzi umeendeshwaje, ni uchaguzi huru wa haki au bao la mkono, it's immaterial
Tuukubali ukweli uliotangazwa hata kama ni uongo, ukiishatangazwa na Tume, uongo huo unageuka kuwa ni ukweli watu milioni 32 wamejitokeza kupiga kura, mimi nikiwemo!
P
Yes hapa ndipo tulipo and this is a fact!.So even if hata wakidanganya or commit miscounduct?
Ndio tumefika hapa this low?
And that is a worst place ever, the lowest point , source = greed ya watawalaYes hapa ndipo tulipo and this is a fact!.
P
Karma ipo itawashughulikia wote na kurekebisha kila kitu.And that is a worst place ever, the lowest point , source = greed ya watawala
Tuna shida ya ukweli kama mtoa hoja alivyo sema, binafsi sioni kama tatizo ni la wazee tu, hata vijana bado tunalo sana tu, labda tofauti ni viwango.Millioni 15?!
Hakuna hata watu millioni 2 waliopiga kura
Waliopiga kura wote Zanzibar na laki tano(kama wamesema kweli), Mwinyi kapata kura laki nne, mgombea wa Zitto laki moja.Tuna shida ya ukweli kama mtoa hoja alivyo sema, binafsi sioni kama tatizo ni la wazee tu, hata vijana bado tunalo sana tu, labda tofauti ni viwango.
Kuhusu namba ya waliojitokeza kupiga kura, wanaweza zidi millioni 2 mfano Zanzbar sioni kama kulikuwa na kususia uchaguzi na wapo above 2 millions. Ongeza na majeshi yamepiga kura hao si chini ya laki 2. Sehemu lkubwa ya watumishi wa umma watakuwa wamepiga kura.
La msingi hapa tuna tabia za kubadili kwa wananchi, pili tujitahidi tupate muafaka wa kuendesha siasa nchini. Na tukiweza tuendelee kuepuka violence kwakuwa haitatatua tatizo tulilo nalo bali huenda ikaongeza shida zaidi kwa maoni yangu. Na nadhani watz wanao uwezo wa kupata muafaka wa kuendesha siasa bila violence, tuna historia hio na uwezo tunao wa kufanya hilo.
Peleka usenge wako kwa mkeo.The end justify the means, akiisha tangazwa na Tume kuwa ameshinda, hilo ni tangazo la mwisho wa uchaguzi, akiisha apishwa yeye ndie Rais wa JMT. This is fact!.
Alishindaje, alipatikanaje, uchaguzi umeendeshwaje, ni uchaguzi huru wa haki au bao la mkono, it's immaterial
Tuukubali ukweli uliotangazwa hata kama ni uongo, ukiishatangazwa na Tume, uongo huo unageuka kuwa ni ukweli watu milioni 32 wamejitokeza kupiga kura, mimi nikiwemo!
P
Mimi nilisikia million 4, ambayo walifanya typo ikawa million 44.Waliopiga kura wote Zanzibar na laki tano(kama wamesema kweli), Mwinyi kapata kura laki nne, mgombea wa Zitto laki moja.
The end justify the means, akiisha tangazwa na Tume kuwa ameshinda, hilo ni tangazo la mwisho wa uchaguzi, akiisha apishwa yeye ndie Rais wa JMT. This is fact!.
Alishindaje, alipatikanaje, uchaguzi umeendeshwaje, ni uchaguzi huru wa haki au bao la mkono, it's immaterial
Tuukubali ukweli uliotangazwa hata kama ni uongo, ukiishatangazwa na Tume, uongo huo unageuka kuwa ni ukweli watu milioni 32 wamejitokeza kupiga kura, mimi nikiwemo!
P
Utakuja kufa kama mdudu tena kabla ya siku zako wewe kima. Kama sio ajali, utakosewa hospitali ama utapatwa na maafa ya kijografia ama kwa gonjwa la mlipuko ama utatekwa na kupotezwa, lazima ufikiwe kwa namna yoyoye ile. Na hatumtaki Samia, atangazwe, asitamgazwe atatoka tu. Madagascar na Nepal wameweza kuwang'oa wakiwa madarakani, na sisi tunaweza! WE CAN DO THIS!The end justify the means, akiisha tangazwa na Tume kuwa ameshinda, hilo ni tangazo la mwisho wa uchaguzi, akiisha apishwa yeye ndie Rais wa JMT. This is fact!.
Alishindaje, alipatikanaje, uchaguzi umeendeshwaje, ni uchaguzi huru wa haki au bao la mkono, it's immaterial
Tuukubali ukweli uliotangazwa hata kama ni uongo, ukiishatangazwa na Tume, uongo huo unageuka kuwa ni ukweli watu milioni 32 wamejitokeza kupiga kura, mimi nikiwemo!
P
Siyo kutoka tu. Atafungwa na kunyongwa kwa mauji alofanya.Utakuja kufa kama mdudu tena kabla ya siku zako wewe kima. Kama sio ajali, utakosewa hospitali ama utapatwa na maafa ya kijografia ama kwa gonjwa la mlipuko ama utatekwa na kupotezwa, lazima ufikiwe kwa namna yoyoye ile. Na hatumtaki Samia, atangazwe, asitamgazwe atatoka tu. Madagascar na Nepal wameweza kuwang'oa wakiwa madarakani, na sisi tunaweza! WE CAN DO THIS!
The number was very low. Huku mipakani watu hawakutoka kabisaaa!Mil 2?? Man don't crack me out!!! Hata laki 1 hawafiki
Muda mwingine tumia busara kama mtu mzima, ni kweli una haki ya kutoa maoni yako kwa uhuru bila kupangiwa, lakini jaribu kusoma alama za nyakati, watu wamechafukwa sana na wamevurugwa. Maneno yako yana kera.The end justify the means, akiisha tangazwa na Tume kuwa ameshinda, hilo ni tangazo la mwisho wa uchaguzi, akiisha apishwa yeye ndie Rais wa JMT. This is fact!.
Alishindaje, alipatikanaje, uchaguzi umeendeshwaje, ni uchaguzi huru wa haki au bao la mkono, it's immaterial
Tuukubali ukweli uliotangazwa hata kama ni uongo, ukiishatangazwa na Tume, uongo huo unageuka kuwa ni ukweli watu milioni 32 wamejitokeza kupiga kura, mimi nikiwemo!
P
democracy ni ngumuMuda mwingine tumia busara kama mtu mzima, ni kweli una haki ya kutoa maoni yako kwa uhuru bila kupangiwa, lakini jaribu kusoma alama za nyakati, watu wamechafukwa sana na wamevurugwa. Maneno yako yana kera.
Kitakachofuata kwa hii tabia yako ya ujuaji na haya maneno yako ya kukera, ni watu kumalizana kisera na wewe huko mtaani.
Kaa kimya, siyo lazima kuongea maujinga ujinga, ni wazi kuwa hawatakupa uteuzi kamwe. Acha kujikomba komba na kuhatarisha maisha yako.
Mambo yamebadilika sana, kuwa makini!