Utalipa shilingi ngapi?

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,201
Reaction score
14,775
Juzi kati nilihudhulia kasemina fulani nikamzoea dada mmoja nikachukua namba nakiri nilimpenda balaa, jioni nikamwita mahali baada ya vinywa na milo ya kutosha nikamwambia tuondoke zetu.

Akaniuliza ''utanipa sh ngapi?' nikamwambia wewe unataka sh. ngapi? akasema hamsini, nikampeleka hadi kwake nikamtumia ile hamsini ila mpaka leo sipokei simu yake wala meseji.

Wanawake acheni hii makitu, K haiuzwi!
 
Kama ulimlipa na haupokei simu wala kujibu jumbe inasaidia nini mkuu?

Halafu unanuaje uvimbe elfu hamsini???
Mimi siwezi aisee.....!
Mkuu tunatofautiana kipato hamsini nilimpa nakyuma niachana nayo ,ni kumuumiza tu kisaikolojia
 
sisi huku buguruni tunanunua 'k' buku mbili hadi tatu na 0713 buku tano tuu....karibu sana
 
Mkuu tunatofautiana kipato hamsini nilimpa nakyuma niachana nayo ,ni kumuumiza tu kisaikolojia
Mwenzako kaingiza 50k bila kufanya kazi, umemuumizaje kisaikolojia
 
Hahah!!!kuna Dada nimekutana nae juzi tanga tukiwa ktk ukumbi wa harusi.Dada zuriiii White macho mzuri.Basi tunatoka nikampa Business card anitafute.Kanitafuta kweli kaniuliza mahali nilipo(hotel). Nimemtajia,swali lililofuata ndio likanifanya nimkatae,kumbe anauza uchi...Sikuwa na tatizo LA kumpa pesa lakini kitendo chakuuliza utanipa ngapi kilinifanya nione naenda lala na jitu LA hovyooooo.
 
"Utanipa shilingi ngapi?"...hili swali kuna muda linafurahisha (mteremko) .....na wakati mwingine linakera na kuondoa hamasa(linakuwa tofauti na mtazamo wako).

Wanaume tunakutana na mengi.
 
Dah, hawa wanawake hiyo papuchi Mungu aliwapa bure alafu wao wanaiongezea thamani na utamu mnaupata wote.
 
Wewe ulipenda mtu yuko kazini kwake.

Kama ni mara ya kwanza kuonana naye sitashangaa, maana yawezekana alikuhofia waweza kwenda bila kumlipa.

Wakati mwingine bora hata anayekwambia hivyo inasaidia kumjua mapema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…