First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,484
tulifanye hili liwe game la mwendelezo kwa kuandika kitu au vitu visivyofaa na kumalizia na maneno UTAKUWA BWEG.E.. au HUO NI UBWEG.E..
NAANZA MIMI...
mwanaume ukiwazoesha wanamke kwa kuwahongahonga wakati mamaako hana hata khanga ya kutokea utakuwa bw.ege..
ukujizoesha outing za kila mwisho wa mwezi wakati wa mshahara afu siku zingine zote unalia njaa utakuwa bw.ege..
mwanamke kufanya mapenzi bila kinga afu akipata mimba anatoa huo ni ubwe.ge..
mwanaume kumwacha mkeo nyumbani na kwenda kula bia na nyama choma baa na vicheche huo ni ubwe.ge....
msela kuwatosa wanaume wenzio kisa shori huo ni ubw.ege..
mdada mtu mzima kila siku kupiga umbea kuwasema wenzio wakati hela ya vocha unaomba kwa mshikaji utakuwa bwe.ge...
NB: NENO BWEG.E UKITAKA LISOMEKE LAZIMA ULIFANYIE MANJONJO KAMA KULIONGEZEA NUKTA AU SPACE ILI LISOMEKE.. Ni miongoni mwa offensive words.. ukiliandika kama lilivyo utaambulia --------
Endeleaaaaa................