utakuwa -----.... au huo ni ubwege....

utakuwa -----.... au huo ni ubwege....

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,484
tulifanye hili liwe game la mwendelezo kwa kuandika kitu au vitu visivyofaa na kumalizia na maneno UTAKUWA -----.. au HUO NI UBWEGE..

NAANZA MIMI...

mwanaume ukiwazoesha wanamke kwa kuwahongahonga wakati mamaako hana hata khanga ya kutokea utakuwa -----..

ukujizoesha outing za kila mwisho wa mwezi wakati wa mshahara afu siku zingine zote unalia njaa utakuwa -----..

mwanamke kufanya mapenzi bila kinga afu akipata mimba anatoa huo ni ubwege..

mwanaume kumwacha mkeo nyumbani na kwenda kula bia na nyama choma baa na vicheche huo ni ubwege....

msela kuwatosa wanaume wenzio kisa shori huo ni ubwege..

mdada mtu mzima kila siku kupiga umbea kuwasema wenzio wakati hela ya vocha unaomba kwa mshikaji utakuwa -----...

Endeleaaaaa................
 
Back
Top Bottom