RIP Jane Mshana!Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 tulipoonana kwa mara ya kwanza nkitoka kwenye ofisi ya Mwalimu mkuu Mrs Swai akakuomba unipeleke darasani kwani kwani nilikuwa nimepangwa darasa la sita B... you became to be my best friend back nakumbuka pia tulikuwa tukikaa dawati moja tukawa tunajiita mr and mrs Macntosh...Ukiw a Machame girls nlikuwa moshi tech na ukiwa Masoka mi nlikuwa mweka and still close..I loved you ila Mungu amekupenda zaidi...R.I.P Jane Mshana you will be missed forever...
pole kwa kumpoteza rafiki wa karibu.............r.i.p Jane MshanaNakumbuka ilikuwa mwaka 1998 tulipoonana kwa mara ya kwanza nkitoka kwenye ofisi ya Mwalimu mkuu Mrs Swai akakuomba unipeleke darasani kwani kwani nilikuwa nimepangwa darasa la sita B... you became to be my best friend back nakumbuka pia tulikuwa tukikaa dawati moja tukawa tunajiita mr and mrs Macntosh...Ukiw a Machame girls nlikuwa moshi tech na ukiwa Masoka mi nlikuwa mweka and still close..I loved you ila Mungu amekupenda zaidi...R.I.P Jane Mshana you will be missed forever...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 tulipoonana kwa mara ya kwanza nkitoka kwenye ofisi ya Mwalimu mkuu Mrs Swai akakuomba unipeleke darasani kwani kwani nilikuwa nimepangwa darasa la sita B... you became to be my best friend back nakumbuka pia tulikuwa tukikaa dawati moja tukawa tunajiita mr and mrs Macntosh...Ukiw a Machame girls nlikuwa moshi tech na ukiwa Masoka mi nlikuwa mweka and still close..I loved you ila Mungu amekupenda zaidi...R.I.P Jane Mshana you will be missed forever...

Huyu ndo yule alikuwa crdb arusha? Nakumbuka kuna patient wangu mmoja nimemhudumia Arusha alikuwa anaitwa jina hili. Mara ya mwisho nilikutana naye clinic akiwa vizuri. R.I.P Jane
Clinic?
Jamani poleni wafiwa ......
mix with yours
Huyu ndo yule alikuwa crdb arusha? Nakumbuka kuna patient wangu mmoja nimemhudumia Arusha alikuwa anaitwa jina hili. Mara ya mwisho nilikutana naye clinic akiwa vizuri. R.I.P Jane
we vipi! Ametoa siri gani? Mbna kuna clinic za kisukari,kansa,aids na hata moyo.hakuna siri ilyotolewa.hapa indirect ushatoa siri ya ugonjwa wa marehemu ..kwa sisi watu wazima tumeshakuelewa..ila jirekebishe..
siamini Jane, nakukumbuka
sana, naukumbuka ule usiku uliponisindikiza KIA, bado nakumbuka, bado
nakukumbuka wangu rafiki
we vipi! Ametoa siri gani? Mbna kuna clinic za kisukari,kansa,aids na hata moyo.hakuna siri ilyotolewa.
MMmhh, daktari gani asiye na maadili ??hapa indirect ushatoa siri ya ugonjwa wa marehemu ..kwa sisi watu wazima tumeshakuelewa..ila jirekebishe..
Clinic?
Jamani poleni wafiwa ......
mix with yours
siamini Jane, nakukumbuka sana, naukumbuka ule usiku uliponisindikiza KIA, bado nakumbuka, bado nakukumbuka wangu rafiki