Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Mpenzi, sorry dada gfsonwin, ahsante kwa kuniita. Lakini nadhani sistahili kukomenti chochote kwenye hii thread. Sina imani na mambo ya kufikirika na mambo ya hadithi za sungura na fisi...... Nachelea kuchangia afu akaibuka mtu akaniuliza kabla sijazaliwa ningepewa option ya kuchagua kuzaliwa mwanaume au mwanamke ningechagua nini? Ishu ni kwamba NI NANI ANGENIULIZA? AND WHY ASKING?? Hakuna kitu kibaya kama msongo wa mawazo, manake waweza kukufuru ukamlamu Mungu kwanini hakukufanya uwe mtoto wa BARAK OBAMA.haya sasa wewe tuambie nje gani ya kiberiti manake umeona mawazo ya wote sio kitu. kwangu mm is like ulitaka tukupe majibu ambayo wewe tayari unayo while the topic ni subjective. na hatuwez sote kuwaza kama wewe kwan kila mmoja ana utash wake.
kuona unawaza matatizo your writings can tell and funny enough hata pale unapopelekwa kwenye opposite side bado unaona shaka.
mm nakuuliza swali hili ''what drove you to write such a topic??''
hapa nikuitie Kiranga na Asprin waje wakueleweshe
Nakuuliza mwalimu kwanini hukuja kwenye bethdei ya Paloma ilhali ukijua nlikuwa na mahaba yako?
Last edited by a moderator: