Utakua una Mtatizo Makubwa sanaa

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,816
Wewe Mwanaume haujawai hata kufumaniwa, mpenzi wako hajawai kukuta meseji za kimapenzi za wanawake wengine, hujawai kumchit mpenzi wako akajua, hajawai kuskia skendo yako yoyote ile ya kimapenzi toka nje, hujawai kuwatamani wanawake wengine wanaomzidi huyo mpenzi wako ukiwa nae, kila anacho kisema huyo mwanamke wako kwako wewe unaitikia ndio tu, na mbaya zaidi hujawai kumpiga kibao hata kimoja uyo mwanamke wako, cha kusikitisha kabisa hujawai kumkagua hata simu yake uyo mwanamke!

Ndugu yangu wewe una matatizo makubwa sana, hata malaika wa bwana hawawezi kukusaidia.

Fumbo la Imani.
 
Kufumaniwa kunaepukika shida mnatafutana majirani hapohapo nenda mbali na nymbni utaepuka
 
Hadithi za vijiweni kuchangamsha genge. Ukiwa pimbi na wewe unayachukua kama yalivyo.
 
Back
Top Bottom