Hapo anaona yuko mahali pazuri kweli pa kupumzika baada ya kazi.Ukimwambia huo mtaro ni wa kusafisha
...ccm ccm daaah, imewanyung'unya watuuu mpaka basiii....
Kama mzazi wako hakukupa elimu ya kuchamba CCM mtailumu bure, haiwezi kukuchambisha!...ccm ccm daaah, imewanyung'unya watuuu mpaka basiii....
aisee! Siku hata mke wako akigongwa na jamaa mwingne utazidi kuilaumu ccm tu.
mkuu kwanini lisifanywe kosa la kutozwa kwa yule atakaye ishi katika mazingira hayo?Kama mzazi wako hakukupa elimu ya kuchamba CCM mtailumu bure, haiwezi kukuchambisha!