Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Wakuu naomba niwasilishe hoja hii!
kuna hoja nyingi zimekuwa zikipita humu ndani kuwa kipindi hich karibia asimia nyingi ya wanandoa au wapenzi wawe wa kike au kiume wamekuwa wakitendembea nje ya mahusiano yao.na wengine katika michango yao wamekuwa wakithibitisha kuwa hata maofisini wamekuwa wakifanya hizo ngono zembe na wengine wemediriki kuchangia kuwa kuna wengine wanatumia muda wa lunch time kufanya hivyo ilimradi tu aweze kuwahi nyumbani bila hata kushitukia kuwa ana kimada au small house.
na wengine wamekuwa wakibadilisha line za simu huku wakizipa majina kuwa hii ni kwa ajili ya mwajuma na hii ni Sophia na nyingine kwa ajili ya mawasiliano ya Sifa.
Kwa wadada wame zao wamekuwa wakiwapeleka hata saloon huku wakitegemea kuwa wameenda kufanya usafi wa nywele au kucha au hata kufanyiwa massage lakini hatimaye kukutwa wakiwa wameandaliwa na wenye saloon wanaume ndani ya saloon hizo bila wenzi wao kutambua.
Kwa kuwa ni vigumu kumlazimisha mtu mzima na akili zake kutofanya hivyo walio wengi tumeshindwa kugundua ni njia gani tunayoweza kutumia kugundua kama mwenzi wako ana cheat au ametoka kufanya au lah.
Naomba waungwana naomba msaada wa mawazo yenu utamtambuaje kuwa huyu leo kado au hakudo?
Najua kuna watakao kuja na maswali mengi kuhusu utafiti lakini naomba tusiangukie huku ni msaada tu mawazo jamani.
Tumsifu yesu kristu.
nawasilisha