Utajuaje upo Afrika?

Hivi unafikiri bei ya sukari kwa mfano. Ikiongezwa mia(100) kila kilo wewe huathiriki? Unafikiri kila kilo ikiongezwa 100 mtu akipewa tender ya kuagiza mfano tani laki 5 inakuwa shilingi ngapi?
 
Alimshtukia mapema sana na alitaka kumla shaba ya kichwa. Shida ilikuwa kwa yule dada, anakaza fuvu kuwa ni mchungaji tena muuza Biblia. Baadae T Bag akaingia kwenye mtego, alikula kipigo heavy mpaka uso ukajaa mipasuko.
Unakumbuka kuna aliingia cha kike baada ya kutoka jera akakutana na mchungaji wa mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…