MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 523
- 1,328
Na akifanikiwa kuweka ataganda hapohapo huku akinyosha miguu Kama yuko swimming pool.
Hello members,
I was gone for some time hope mko poa,,,kuna kijamaa kinanidanganya eti hakijawahi kufanya kabsa.
sasa tumepanga kinaniambia it will be his first time..
My question sasa utawezaje kujua kuwa mwanaume hajawahi kufanya sex?mda wa sex?
isije kuwa kinanichora tu.
Jamani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na akifanikiwa kuweka ataganda hapohapo huku akinyosha miguu Kama yuko swimming pool.
wewe hapo uliyeambiwa hivyo, maana utaenda ukiwa unataka kuona mwanaume ambaye hajawahi fanya anakuaje kumbe ndo unaliwa kimasihara hivyo, mwisho wa siku jamaa anakuja kuleta ushuhuda humuHahah nan?
Nasikia harufu ya mtu kuliwa kimasihara hapa.
😂😂😂😂...KWELI kabisa binti anaenda kutafunwa kama kitumbua..full weseeeNasikia harufu ya mtu kuliwa kimasihara hapa.
Kwahiyo unataka kutest mitambo na virgin man?, aisee usisahau kuleta mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambaye hajasex dalili yake anakuwa hajazaliwa!
umetisha sana mkuu duuuuhZifuatazo ni sifa za mwanaume bikra
Kwanza anapenda kupiga nguo pasi yaani hatari
Akifika kwa location hana hata mapepe
Alafu ni juha
Note:ile sehemu hutakiwi uwe na digrii kubwa na ndo maana unaona mpaka sasa Tanzania tupo Mil 52 kwahiyo hadi wasukuma wapo pia
nanjilinji moja hiyoooooo
maninaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na akifanikiwa kuweka ataganda hapohapo huku akinyosha miguu Kama yuko swimming pool.
Sio bigginer wote wapo ivyoAnaweza kumwaga kabla hata ya kuingiza
Hello members,
I was gone for some time hope mko poa,,,kuna kijamaa kinanidanganya eti hakijawahi kufanya kabsa.
sasa tumepanga kinaniambia it will be his first time..
My question sasa utawezaje kujua kuwa mwanaume hajawahi kufanya sex?mda wa sex?
isije kuwa kinanichora tu.