Utajuaje mwanaume anakupenda au siyo?

hapo sasa mpo katika climax wahindi wanakuambia intermission yani bruce lee ndiyo analamba damu hapo utampenda
 
Haina haja ya kumuuliza we nenda kwa mganga kapige ramli utamjua tu....kuna wengine tuna-pretend so kutujua ni ngumu
 
Kwamba huamuni kama anakupenda au?? Maswali mengine ni ya mtego kama hakupendi unafikiri angekuwa na wewe?? Hebu jiamini
 
Mwanaume akipenda.. utaona tu. Matendo yake yatakuonyesha...
Lakin kama alikuwa hana mpango na ww... majib ndio kama hayo.

Mtu anae kupenda.. kukwambia neno nakupenda ni jambo rahis sana.... lakin mtu ambae hakupendi. Kukwambia.. nakupenda ni shida..
Hata ukimwambia nakupenda.. kukujibu ni ishu
 
Bahati mbaya kwamba mapenzi ya siku hizi yanapimwa......kwa vitu vyepesi sana.....

Lakini kama utatumia ubongo wako vyema ni rahisi sana kumgundua mwanaume muongo maishani mwako....dalili zifuatazo zinaweza kukupa mwanga kuwa upo na mwanamume wa aina gani....!!!

>Daima huangalia maslahi yake....
Mwanaume asiyekupenda hawezi kuangalia au kujali kuwa wewe unapenda nini au hupendi bali....bali daima hushikiria wewe ufanye yale anayoyapenda yeye....hata kwa kugharimu afya yako...au utu wako......anaweza akakupigia simu nyakati za usiku mkubwa uende maahali fulani hali ya kuwa anajuwa kuwa unaishi mitaa hatari na jambo hilo linaweza kuhatarisha maisha yako.....
Anaweza akakulazimisha umkopeshe kiasi kikubwa cha pesa( ikiwa unafanya kazi) hali ya kuwa anajua kuwa kuna mambo kibao unatakiwa kufanya na pesa zako.......

>Hatumii muda mwingi na wewe......
Daima atajitahidi kujiweka mbali na wewe mpaka pale atakapohitaji kitu kutoka kwako......ni kawaida kukaa hata siku nzima asikutafute au hata week nzima msikutane zaidi ya text fupi za uongo na kweli.....

>Anapenda kukulaumu kwa mambo madogo......
Mahusiano ni ya watu wawili ambao kati yao hakuna aliyekamilika....hivyo kukosea si jambo la ajabu......lakini kwa upande wako inakuwa ajabu mpaka unashangaa kuwa nalaumiwa kwa jambo hili hili tu au kuna lingine.....

>Ni msiri sana kwenye mambo yake....
Daima hapendi kukuweka karibu au kukushirikisha katika mambo yake ya kimaisha hasa yale ya muda mrefu.....maana yake ni kwamba hayupo tayari kujenga maisha na wewe.....hawezi akakuambia mahali anapoishi au hapendi ufahamiane na watu wake wa karibu....achilia mbali familia yake.....

>Hamaanishi anachokiongea.....
Mara nyingi anapotaja kitu kwako anakuwa mtu mwenye kuongea mengi na kuahidi mengi....ambayo hawezi kuyatekeleza.....

>Anasahau matukio au kumbu kumbu nzuri kwako......
Matukio ambayo wewe unayapa umuhimu kwako....na ungependa kushare naye nyakati hizo....lakini hayupo tayari kuwa nawe kwa kipindi hicho kwa sababu hakujali....
 
2d4eaea54790ad17ed8c4b442cd98283.jpg
 
Hilo swali majibu yake ni mawili tu. Aidha NDIO, ama HAPANA. Majibu zaidi ya hayo ni ubabaishaji. Use your 6th sense to determine what he meant.
 
Back
Top Bottom