Utajuaje kuwa unasumbuliwa na mizimu ya Ukoo?

Moja ya dalili ya kusumbuliwa na mizimu ya ukoo ni kudangadanga ovyo ovyo ,kama unavyodanga wewe,mfano kama mabibi zako huko zamani walikuwa wadangaji zile roho zinakuvaa kama zilivyokuvaa wewe

I see you are so obsessed with me , tell me what do you like about me , it’s clearly I’m giving you sleepless nights

But I’m not interested in you , mind your business , I understand that you like me , but I’m sorry I don’t like you , Acha shobo basi
 
mara unapokubali na kujiunga na roho hizi unakuwa mteja wa maisha na maroho yote ya kichawi yatakupiga wewe, ndugu zako watakuloga utaugua wewe, kila roho na uchafu utakaotupiwa utakupiga wewe maana umezikubali hizi roho, kuna jamaa alikuja kukaa home alikua anatueleza anaona mambo ya ajabu usiku, mara anaona watu wanafanya vikao, anasikia watu wanafagia, akipita baadhi ya njia anasema zimewekwa mitego anaishi maisha ya ajabu sana, mother ndio alikuja kuniambia kwamba hawa ndio imani walioichagua ndio maana inawatesa, binafsi tangu nakuwa sijawai fikilia nimelogwa wala ndugu yangu wa karibu amelogwa lakini wanaoamini mambo haya uchawi unawamaliza mpaka wanashangaa maana wamekubaliana na hizi vitu
 
I see you are so obsessed with me , tell me what do you like about me , it’s clearly I’m giving you sleepless nights

But I’m not interested in you , why can’t you just **** off and mind your business , I understand that you like me , but I’m sorry I don’t like you , Acha shobo basi
We will go heaven but spoon are well hypocrites because indeed is high October 28 is yesterday and all members from top to bottom was came inside to be circumcised by his majesty if houses comes together is better transformation.dangaz you up to no good.
 
Respect yourself and mind your business , if someone says leave them alone , leave them alone, I said earlier and im telling you now , I’m not interested in you or your miserable existence.. Acha shobo na mimi , you are trying so hard to be me
 
Kwanini warumi hutaki kutulia,huo umri ni wa kulea wajukuu sio wa kudanga,unajitia aibu sana,unajua kabisa hali yako ya afya si nzuri halafu unarukaruka,ule ugonjwa unatakiwa utulie,unywe ARV zako,ule vizuri na maisha yataenda vizuri
 
We will go heaven but spoon are well hypocrites because indeed is high October 28 is yesterday and all members from top to bottom was came inside to be circumcised by his majesty if houses comes together is better transformation.dangaz you up to no good.

I see you are so obsessed with me , tell me what do you like about me , it’s clearly I’m giving you sleepless nights

But I’m not interested in you , why can’t you just **** off and mind your business , I understand that you like me , but I’m sorry I don’t like you , Acha shobo basi
Tukutane kwenye thread zako nyingine zinazokuja,kila kwenye thread yako nitakuwa miongoni mwa wachangiaji nikitamka neno
 
acha tu watu wabish sana
Mkuu siyo wabishi, narudia sijakosea "WATU SIYO WABISHI"Bali wanatupiga changa la macho ili tusifunguke hasa tusio amini/kujua uchawi.
Hii ni tabia ya wanafiki wote Duniani. Kazia hapo hapo! Usiache!!
 
hacha kuendekeza mambo ya kijinga , imani hizo sisi kwetu hatutaki kusikia upumbavu kama huo na bado maisha tunatoboa , mambo ya kishilikina yanaleta laana kwenye ukoo mpaka vizazi vinavyokuja baadae, kosa lako moja linaweza kugharimu kizazi chako na vizazi vingine vijacho,
Kama huamini kua ushirikina upo unaaminije kua ujinga wako utagharimu watoto wako kiimani? kiufupi unajifanya unajua lakini hujui
 
Jidanganye tu!!! Ancestral spirits are spirits not flesh beings, hata kama hujawahi kukanyaga kijijini kwenu ili mradi wewe ni wa ukoo huo babu zako waliweka agano convenant na mizimu ya ukoo(ancestral spirits) itakufuata hata ukihamia buckingham palace au white house!!!na itakuharibia vibaya vibaya kama hufuati masharti yao ya sadaka. Ukisema huamini maana yake hata Mungu unaamini hayupo, shetani yupo na Mungu yupo, na wote wana nguvu kwa kiwango chao, ila Mungu ana nguvu zaidi, dawa ni kupata damu ya Yesu iku protect otherwise ukijifanya wa kisasa na kanisani au msikitini upo upo mizimu itakutesa tu.
Well said mkuu,kama hatakuelewa basi there must something wrong somewhere...
 
Mpumbavu ni yule ambae akili yake imepumbaa,unapotamka kuwa mzimu ni mapepo wachafu una maanisha nini?!, hivi hawa akina Johanna,Luka,mathayo, akina Paul,akina daud,akina Suleiman,akina Abraham,sio mzimu?, au mzungu akifa anaitwa mtakatifu,ila mwafrika ni pepo mchafu?!, hii ni fikra tepetevu,na ni mawazo fyongo na elimu yenye matege,
 
Dogo una akili sana. Lazima wewe utakuwa Myahudi original.
Damu ya Ibrahim wa kweli haswaa! Big up. Kunywa soda kwa mangi naja lipa.
 
mara unapokubali na kujiunga na roho hizi unakuwa mteja wa maisha na maroho yote ya kichawi yatakupiga wewe, ndugu zako watakuloga utaugua wewe, kila roho na uchafu utakaotupiwa utakupiga wewe maana umezikubali hizi roho, kuna jamaa alikuja kukaa home alikua anatueleza anaona mambo ya ajabu usiku, mara anaona watu wanafanya vikao, anasikia watu wanafagia, akipita baadhi ya njia anasema zimewekwa mitego anaishi maisha ya ajabu sana, mother ndio alikuja kuniambia kwamba hawa ndio imani walioichagua ndio maana inawatesa, binafsi tangu nakuwa sijawai fikilia nimelogwa wala ndugu yangu wa karibu amelogwa lakini wanaoamini mambo haya uchawi unawamaliza mpaka wanashangaa maana wamekubaliana na hizi vitu
km hujWahi kurogwa nyota zako ni mfu. haung'ai ktk ulimwengu wa mafanikio. You are nothing. Wachawi wanaroga nyota kali km ya jakaya kikwete. Nyerere. Si unaona wanavoheshimika duniani?

Siyo km jiwe analazimisha arogwe! Huyu ali relux tu.hkn hata wa kumpindua.
Wewe ni una nyota pori baridi haina mafanikio kamwe.Hawahitaji ahera haiwasaidii pia

Wenye nyota zao; kwanza wanachukiwa mapema sana hata na ndg wa damu km yusufu.
Sababu ukuu umo ndani yao. Hawapendwi katu. Utasikia maneno km hivi..

Huyu jamaa mjinga..
Huyu mtoto anafanya mambo kinyume..
Mkorofi..
Haelewi...
Kibri...
Nk ukiona hivi una kitu ndani yako..hama maeneo hayo wende mbali utaona.
Au muhamishe mwanao faster atarudi kivingine akiwa tajiri.
Hkn mtu aliye dharauliwa akiwa mdogo na babae hata na ndugu km mfalme Daudi. Klikuwa kinashinda na kondooo tu kichafuuu!
Km haitoshi Yesu alidharauliwa sana jamani heee. eti anajiita mfalme. Lkn je yupo wapi?
 
huna akili
 
Umeongea kitu correct sana shetani ana akili mno ndio maana amewekeza mawakala wake waharibu watu wenye vipawa thats true leo hii kuna watu wanatembea lakini hatma zao zimefunikwa na wachaw tena huwa haya mambo yanaanzia humuhumu kwenye koo zetu yani hii dunia we acha hata YESU alipozaliwa tu herode baada ya kujua si wa kawaida alitaka kumuua.
 
nakutex inbox brother mshana sms inakataa na shida
 
Back
Top Bottom