Utajuaje kuwa unasumbuliwa na mizimu ya Ukoo?

mara unapokubali na kujiunga na roho hizi unakuwa mteja wa maisha na maroho yote ya kichawi yatakupiga wewe, ndugu zako watakuloga utaugua wewe, kila roho na uchafu utakaotupiwa utakupiga wewe maana umezikubali hizi roho, kuna jamaa alikuja kukaa home alikua anatueleza anaona mambo ya ajabu usiku, mara anaona watu wanafanya vikao, anasikia watu wanafagia, akipita baadhi ya njia anasema zimewekwa mitego anaishi maisha ya ajabu sana, mother ndio alikuja kuniambia kwamba hawa ndio imani walioichagua ndio maana inawatesa, binafsi tangu nakuwa sijawai fikilia nimelogwa wala ndugu yangu wa karibu amelogwa lakini wanaoamini mambo haya uchawi unawamaliza mpaka wanashangaa maana wamekubaliana na hizi vitu
Uongo
 
Mpumbavu ni yule ambae akili yake imepumbaa,unapotamka kuwa mzimu ni mapepo wachafu una maanisha nini?!, hivi hawa akina Johanna,Luka,mathayo, akina Paul,akina daud,akina Suleiman,akina Abraham,sio mzimu?, au mzungu akifa anaitwa mtakatifu,ila mwafrika ni pepo mchafu?!, hii ni fikra tepetevu,na ni mawazo fyongo na elimu yenye matege,
Akili hawana
 
Jamaa alipata uchungaji, kila akisimama altareni anachanganyikiwa na kutetemeka ovyo. Kupima hana ugonjwa, alipo jaribu kuchinja mbuzi ili kuomba mababu, ni mzima na kazi inaendelea. Elewa sasa maana ya mizimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
hivyo vitu Endapo vikiamua hakuna Cha dini Wala Nini itakayo kusaidia .. ni Balaa achana na spirit
 
Wazungu wajanja saana mizinu yao ya akina Constantine, Ezekia, Xavier n.k

Hii ndio wanasema ituombee. Na wanaiita mtakatifu.

Kumbe na sisi waafrika akina Shambuku, Tendeka, inabidi ruwaite Watakatifu wetu na watuombee.

Kwa hiyo Wazungu na waarabu wametuwahi.
imagine
 
wasting of time ! mmevuta mabangi huko mnasingizia mizimu
roho inayokutuma kuvuta bangi, kuwa mlevi, malaya, mwizi, mzinzi - zote hizi ni roho chafu zinazoweza kuletanizwa na mizimu ya ukoo wako.
 
Pumzka kwa aman warumi kitu nlchojfunza n kwamba ukiona mtu kapandsha uzi hapa jua 80% ya uzi huo unamhusu kwa ukaribu sana warumi inaonyesha alijpambania sana mpka kufikia hatua ya kufark lakn kuna wapumbavu humu kila mtu akiandka kitu mnaleta upuuz kama kitu ujui funga domo lako na ufiche ujinga wako kulko kuandka vtu vsvyokua na msaada kwa muhusika elimikine na mjfunze na mkue ki akil.
 
Pumzka kwa aman warumi kitu nlchojfunza n kwamba ukiona mtu kapandsha uzi hapa jua 80% ya uzi huo unamhusu kwa ukaribu sana warumi inaonyesha alijpambania sana mpka kufikia hatua ya kufark lakn kuna wapumbavu humu kila mtu akiandka kitu mnaleta upuuz kama kitu ujui funga domo lako na ufiche ujinga wako kulko kuandka vtu vsvyokua na msaada kwa muhusika elimikine na mjfunze na mkue ki akil.
sad
 
Naona chalii alikuwa anakuwa attacked spiritually, sadly ameondoka bila solution. Wengi waliishia ku mdiss tu.
 
Back
Top Bottom