Utajuaje kuwa mwanamke anakupenda kweli?

Tuwaseme

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
645
1,191
UTAJUAJE KUWA MWANAMKE ANAKUPENDA KWELI

Ni muhimu sana kwako mwanaume kujua kwa uhakika kuwa mwanamke anakupena kweli kweli, utajuaje kuwa mwanamke anakupenda?

Zifuatazo ni ishara ambazo wewe kama mwanaume unapaswa uwe makini ili uweze kuziona na kuzifanyia kazi;

1. Mwanamke anayekupenda atakuwa tayari kujitoa muhanga kwa ajili yako yaani kujitoa kafara, vipo viwili ambavyo watu hawawezi kuvifanya ila isipokuwa kwa wale wanaowapenda kwa moyo wote. Je wewe ni sehemu mojawapo ya vi wili vichache anavyovipa kipaumbele?, je wewe unakuwa wa kwanza mbele ya rafiki zake? Je anakufanyia viwili ambavyo hawezi kuwafanyia wanaume wengne?,je ameacha mambo mengine ili aweze kuwa na wewe? Ni kwa viwili kama hivi unaweza kutambua wewe ni wa muhimu kwake.

2. Mwanamke anayekupenda atahangaika juu yako, mtu anayekupenda atahangaika juu ya usalama wako, raha yako, heshima yako na maendeleo yako. Hii ni moja kati ya ishara kubwa kuwa mwanamke uliyemlenga anakupenda kwel.

3. Mwanamke anayekupenda atakuonea wivu mara kadhaa,ingawaje wivu mara nyngne unaweza kuvuruga penzi endapo utazidi. Wivu ni ishara kuwa anakupenda wewe na anataka akulinde usiibiwe au asije akakupoteza, anaogopa usije ukatoka katika maisha yake, au kwa maneno mengine usije ukamtoa moyoni mwako na nafas yake ikachukuliwa.

4. Mwanamke anayekupenda atakapokuwa mbele ya marafiki zake au watu wengine atacheka nao lakini atakugeuzia wewe macho namaanisha uso wake haraka sana. Kufanya hivi ni kuonyesha kuwa anakuhesabia wewe kuwa utaweza kumletea furaha katika maisha yake, zaidi ya hilo ni kwamba anatumaini kuwa utamuona kuwa yeye ni mtu aliye rahisi kufurahishwa kwa kuwa yeye ni mtu wa furaha.
 
Hizo za kizamani sana! Siku hizi we usimpe hela mwezi mzima,hata kama ana kazi yake ujue ndo basi tena..wanataka malipo maana wamejiajiri.
 
Na ukimuomba tigo anakupa
 
Back
Top Bottom