Pole kaka, siku hizi kwa kweli ni ngumu sana kugundua hilo maana tecknologia imepanda sana...zinauzwa hapo kwa mai matha kama mafungu nyanya. Wee tafuta kuberi tuu lililokubuhu na kukomaa na hayo mambo maisha yaende. Utaambuliwa kutapeliwa! Omba mola wako akupe mtakae endana tabia na maelewano tuu.
Natumai wapo wajuzi ambao wanaelimu ya kuweza kutueleza kuwa ukiona hivi au vile basi uelewe kuwa bado mwanamama ni mwari na hajaguswa kabisa na anaendeleza heshima yake, na kuna wengine ukiwaona hivi na vile basi ujue wameshakuwa deflowered so ni kitu gani mnaweza kunielewesha ambacho ni cha uhakika kabisa katika kutegua hisia hizo ,ifahamike kuwa nazungumzia ukimuona kwa macho tu, nahitaji elimu ya kutambua tu bila ya kufika na kuikagua karakana nzima. Natafuta elimu. Japo wengine wananiona mjinga sijui kitu na iwe hivyo ila hapa JF najua wapo watu na taaluma zao mbali mbali na wengine ni uzoefu tu ,wanaweza kunielewesha au kutuelewesha.
Themeji unamaanisha nini ukisema software! pole habari za leo na vipi hangover.Wasiliana na Fidel80 anasoftware ya kutumia na kukwambia uhalisia wake!
Jamani ninaandikaga kiswahili nasema natafuta elimu sasa mmekazania na kulazimisha kabisa kuwa natafuta sasa nitafute wangapi ? Naitaji elimu ili kujua kama mdada unaringa basi unaweza kuusitukia na mapema kuwa hamna kitu .elimu haidanganyi hata kama kuna ukarabati ,hiyo elimu ndio niitafutayo.We bwana, usije changanyikiwa bure! Chukua mwanamke kaa naye. Habari za mwali au bikira achana nazo kabisa. Kuna jamaa star hapo Bongo alikuwa natembea na star mwenzake, na kutangazia umma kuwa yeye ndiyo wa kwanza kuvua kufuri, kabla hajashangazwa. Inawezekana technology ya kurudisha U-mwali ilitumika. I mean ukitaka karakana mpya na wakijua hivyo, utaipata tu
Themeji unamaanisha nini ukisema software! pole habari za leo na vipi hangover.
Natumai wapo wajuzi ambao wanaelimu ya kuweza kutueleza kuwa ukiona hivi au vile basi uelewe kuwa bado mwanamama ni mwari na hajaguswa kabisa na anaendeleza heshima yake, na kuna wengine ukiwaona hivi na vile basi ujue wameshakuwa deflowered so ni kitu gani mnaweza kunielewesha ambacho ni cha uhakika kabisa katika kutegua hisia hizo ,ifahamike kuwa nazungumzia ukimuona kwa macho tu, nahitaji elimu ya kutambua tu bila ya kufika na kuikagua karakana nzima. Natafuta elimu. Japo wengine wananiona mjinga sijui kitu na iwe hivyo ila hapa JF najua wapo watu na taaluma zao mbali mbali na wengine ni uzoefu tu ,wanaweza kunielewesha au kutuelewesha.
utamuona jinsi alivyokakamaa, akitembea kiuno kigumuuuuuu, ...viungo vya mwili havijalainika, ...utadhani kachomelewa -'welding!'
Ustaadhi kumbe wewe mtaalamu wa mambo haya eh? Ila huyo mwari untouched akishazibuka na ubongo ukaingia nyungunyungu lazima akukimbie.
Kumbuka Mwiba kuna wale wasiozaliwa nazo, sasa nao sijui utawatambuaje?
Je na mwanaume untouched tutamjuaje sie wadada?
kwa hiyo mwanaume untouchedi ushamba ndio dalili yake?ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa, Pretty hakuna haja yakumjua mwanaume untoutched for it makes no difference. Tena mwanaume untouched anaweza asikufae kabisa ukamkimbia na kumwona mshamba.