Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,727
Unamjalii sana anko wakoo mkuuTatizo naogopa usije kuwa hajasafishwa vizuri,akaniletea matatizo ya kusema anaumwa tumbo mbeleni alaf ikawa shida,maana wanaficha hawa sana ndugu zetu
Huyu anko n snitch kabsa alafu anaonekana mshamba sn plus mbnafsWe jamaa ni boya sana, unadukua mawasialiano ya huyo mjomba wako ili iweje?? au ulikua unataka kumto.mb@ ww
Kwahio kulea mimba iliokataliwa ndio kujali? What if baba yake na binti akija kujua kwamba mtoto wake amebeba mimba ambayo baba mtoto haeleweki binti akiwa kwako!Haaah kwanini? Najali kwasababu yuko chini ya malezi yangu,SI UNAJUA NDUGU WANA LAWAMA SANA.
Trust me jamaa hio mimba ana maslahi nayo...huwa hatufatiliagi vitu complex ikiwa havina msingi katika maisha yetu.Mkuu mi nakushauri tu kama mimba ishatolewa achana nayo fanya ishu zingine fanya kama hamna kilichotokea...kufatilia fatilia utakuja kuambiwa wewe ndo ulimpa hiyo mimba..
Trust me jamaa hio mimba ana maslahi nayo...huwa hatufatiliagi vitu complex ikiwa havina msingi katika maisha yetu.