Utajuaje kama Mwanamke ametoa mimba karibuni?

Haaah kwanini? Najali kwasababu yuko chini ya malezi yangu,SI UNAJUA NDUGU WANA LAWAMA SANA.
Kwahio kulea mimba iliokataliwa ndio kujali? What if baba yake na binti akija kujua kwamba mtoto wake amebeba mimba ambayo baba mtoto haeleweki binti akiwa kwako!

Hio mimba ni aidha una maslahi nayo kwa namna moja au nyengine tu bila shaka. Hamnaga Care ya namna hii 😂😂😂 kwa mtu na mjomba wake. Its either mwanao katia mimba binamu yake na unaona binti ni beto ya kutokea..so aheri ulee tu! Acha janja janja nyoosha maelezo.
 
Mkuu mi nakushauri tu kama mimba ishatolewa achana nayo fanya ishu zingine fanya kama hamna kilichotokea...kufatilia fatilia utakuja kuambiwa wewe ndo ulimpa hiyo mimba..
Trust me jamaa hio mimba ana maslahi nayo...huwa hatufatiliagi vitu complex ikiwa havina msingi katika maisha yetu.
 
Mkuu samahan, hivi mwanamke akiwa ametoa mimba halafu tumbo likawa linaendelea kuuma chini ga kitovu yani halipoi inamaanisha nini haijatoka au hajasafishika vizuri, au ni complications tu zakawaida?? Naomba kufaham kidogo nimekutana na hii case huku mtaan
Trust me jamaa hio mimba ana maslahi nayo...huwa hatufatiliagi vitu complex ikiwa havina msingi katika maisha yetu.
 
Back
Top Bottom