Utajiri wa vijana wa Magufuli (RCs) una siri gani?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Namkubali sana Magufuli , kwanza ni kwa sababu naamini ni mdau wa siasa ya ujamaa na azimio la Arusha.

Naamini anatatizika viongozi wa Serikali wanapozipata mali bila kuwa na chanzo elekezi.

Hawa vijana mfano mzuri RC wa Dar na yule wa Manyara bwana Mnyeti wana siri gani.

Je, ukuu wa mkoa unalipa sana?

Mnyeti kanunua timu na kutengeneza uwanja mfano wa azam complex kwa kiasi kinachokaribia na Bil 1

Makonda naye anasema ametumia bil 2 kuwapa viwanja Yanga na TFF.

Ninachojiuliza hawa kama watumishi wa umma japo wapo kwenye siasa wanafanya biashara gani ya kuwawezesha kugawa billions of money na wakiulizwa wanatoa sababu rahisi sana.

Natatizika hapa.
 
Fanya kazi.... Ukiwa RCs una takiwa na 10,000 tu... Hii ndio roho mbaya aliyo isema Edo kumwembe...

Mtanzania kulipwa mshahara wa 8M, 18M 25M si sawa ila mzungu ktk nchi yako akilipwa dolls 50,000/- ni sawa...

Roho mbaya...! Na ingekuwa iyo timu ina tokea chato kunge kuwa hapatoshi mjini...

Ila mnyeti ni mkuu wa mkoa wa Manyara sio Mara
Hawa vijana mfano mzuri RC wa Dar na yule wa Mara bwana Mnyeti wana siri gani.

Je ukuu wa mkoa unalipa sana?

Mnyeti kanunua timu na kutengeneza uwanja mfano wa azam complex kwa kiasi kinacho karibia na Bil 1

Makonda naye anasema ametumia bil 2 kuwapa viwanja yanga na tff.

Ninacho jiuliza hawa kama watumishi wa umma japo wapo kwenye siasa wanafanya biashara gani ya kuwawezesha kugawa billionnof money na wakiulizwa wanagoa sababu rahisi sana.

Natatizika hapa.
 
huyoo unaesema unamkubali akifichua makucha unaweza ukalia. Raisi kutokuwa fisadi kwa inchi zetu za africa bado sana labda 2090
wakina Nyerere Mandela etc walijitahidi sana walikuwa wazalendo kutoka moyoni na sio mdomoni kama hawa wa sasa.
wakitoka madarakani ndo utaona hela zilivyo pigwa, saivi hakuna panya anaweza mfunga paka kengele.
 
Tunajua kuwa kuna 5* hotel Chato ambapo masafara wa rais hufikia. Wageni hutozwa milioni 2 kwa stay na bill inakwenda hazina.
 
Namkubali sana magufuli , kwanza ni kwa sababu naamini ni mdau wa siasa ya ujamaa na azimio la arusha.

Naamini anatatizika viongozi wa serikali wanapozipata mali bila kuwa na chanzo elekezi.

Hawa vijana mfano mzuri RC wa Dar na yule wa Mara bwana Mnyeti wana siri gani.

Je ukuu wa mkoa unalipa sana?

Mnyeti kanunua timu na kutengeneza uwanja mfano wa azam complex kwa kiasi kinacho karibia na Bil 1

Makonda naye anasema ametumia bil 2 kuwapa viwanja yanga na tff.

Ninacho jiuliza hawa kama watumishi wa umma japo wapo kwenye siasa wanafanya biashara gani ya kuwawezesha kugawa billionnof money na wakiulizwa wanagoa sababu rahisi sana.

Natatizika hapa.
MaRC wa awamu zilizopita waliishi kwa mishahara yao na virurupu tu mpaka unawahurumia. Kupata pesa nje ya mshahara, RC mpaka afanye safari za kikazi ndani au nje ya mkoa wake! Kwa miradi mikubwa namna hiyo, wana namna ya kutiliwa mashaka.
 
Mkuu na heshimu kazi za watu kama zinaonekana..

Rcs mshahara haufiki mil 6
Fanya kazi.... Ukiwa RCs una takiwa na 10,000 tu... Hii ndio roho mbaya aliyo isema Edo kumwembe...

Mtanzania kulipwa mshahara wa 8M, 18M 25M si sawa ila mzungu ktk nchi yako akilipwa dolls 50,000/- ni sawa...

Roho mbaya...! Na ingekuwa iyo timu ina tokea chato kunge kuwa hapatoshi mjini...

Ila mnyeti ni mkuu wa mkoa wa Manyara sio Mara
 
Ewe kada mtiifu wa Lumumba,utumishi wa umma una taratibu,maadili na miiko yake.
Ndio maana kuna kujaza fomu ya Mali na madeni ya viongozi wa umma.
Hayo ya Edo hayahusiani hapa,hayaondoi wajibu wa raia kutaka uwazi na uwajibikaji wa viongozi wao.
Fanya kazi.... Ukiwa RCs una takiwa na 10,000 tu... Hii ndio roho mbaya aliyo isema Edo kumwembe...

Mtanzania kulipwa mshahara wa 8M, 18M 25M si sawa ila mzungu ktk nchi yako akilipwa dolls 50,000/- ni sawa...

Roho mbaya...! Na ingekuwa iyo timu ina tokea chato kunge kuwa hapatoshi mjini...

Ila mnyeti ni mkuu wa mkoa wa Manyara sio Mara
 
Mnyeti ndie mshika kofia kwa ulaji wa Mirerani. Kila mzao lazma ipelekwe 10% hadi kwa Baba. Mama Kairuki alihoji akatupwa kwa wawekezaji. Kila mwenye mashamba makubwa Manyara lazma apeleke kati ya kumi hadi mia milioni kwa mwenye mkoa. Huo uwanja nadhani ni dibaji tuuuuu . Tuache muda upite.
 
Back
Top Bottom