Utajiri wa vijana wa Magufuli (RCs) una siri gani?

Namkubali sana Magufuli , kwanza ni kwa sababu naamini ni mdau wa siasa ya ujamaa na azimio la Arusha.

Naamini anatatizika viongozi wa Serikali wanapozipata mali bila kuwa na chanzo elekezi.

Hawa vijana mfano mzuri RC wa Dar na yule wa Manyara bwana Mnyeti wana siri gani.

Je, ukuu wa mkoa unalipa sana?

Mnyeti kanunua timu na kutengeneza uwanja mfano wa azam complex kwa kiasi kinachokaribia na Bil 1

Makonda naye anasema ametumia bil 2 kuwapa viwanja Yanga na TFF.

Ninachojiuliza hawa kama watumishi wa umma japo wapo kwenye siasa wanafanya biashara gani ya kuwawezesha kugawa billions of money na wakiulizwa wanatoa sababu rahisi sana.


Natatizika hapa.
Inaelekea unadanganyika kirahisi sana.

Na hapo ndipo mwanzo wa tatizo.

Magufuli angekuwa mdau wa siasa za ujamaa na Azimio la Arusha asingeuza nyumba za serikali nje ya mchakato rasmi.

Umekosea kutoka mwanzo kufikiri Magufuli ni mdau wa Ujamaa na Azimio la Arusha mpaka kushangaa vijana wake wanavyopiga hela.
 
Hao vijana wa Magufuli ni wezi tu kuna mmoja alishikwa akitaka kuiibia serikali kwa kuingiza makontena aliposhtukiwa ikulu ikajifanya kumkana.
 
If we may ask: what kind of immunity do they have? Who protects them and why?
Their protection must of course be mighty. Government system and organs shies off from their gross unethical "businesses" and yet tumbua tumbua is everywehere.
A couple of people getting rich is not an issue. The public is concerned because they are public leaders. As such, instead of being reflectors of how public servants are expected to be and ;behave they are openly tearing apart and weakening the government machinery willfully and systematically into pieces. It is inadmissable. There will come the time for everyone to account for his account. For now they are invisible!
In fact they are not invisible, they are untouchable. The hands of the strong man are stretched to protect them. We saw it during the fake certificates and the container saga. But for sure the time will come, and the time is, when justice will have to take its course.
 
Fanya kazi.... Ukiwa RCs una takiwa na 10,000 tu... Hii ndio roho mbaya aliyo isema Edo kumwembe...

Mtanzania kulipwa mshahara wa 8M, 18M 25M si sawa ila mzungu ktk nchi yako akilipwa dolls 50,000/- ni sawa...

Roho mbaya...! Na ingekuwa iyo timu ina tokea chato kunge kuwa hapatoshi mjini...

Ila mnyeti ni mkuu wa mkoa wa Manyara sio Mara
nipo mwanza kuna ford ranger inazunguka tu barabarani na inasemekana ni ya Makonda! yye ni RC wa wapi?
 
Huenda ni marupurupu aliyopata kwenye ile biashara ya ununuzi wa binadamu .
 
Back
Top Bottom