Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,681
We unao huo utajiri wa ndaguJaribu kutembelea hii mikoa na ukienda utulize akili usiwe na wenge utapata unachotaka.Geita,Shinyanga,Rukwa,Kigoma,Simiyu,Morogoro na Njombe
Ndagu au utajiri wa majini ni wa kweli lakini masharti yake au tabu zake zinaweza kuwa hatari zaidi ya huo utajiri.Omba Mungu fanya juhudi kwa kila kitu,rizika na ukipatacho na ushukuru