Ngoja nikae hapa , ukiupata niunganishehivi nikweli utajiri wa aina hii upo..? mbona nimeutafuta sana siupati.?
Nahitaji kufanikiwa ndani yamuda mfupi tu. mwenye hizo connection nitamshukuru sana akinipa muongozo wakufanikisha hilo jambo. umasikini mateso sana
NATAKA PESA ZACHAP CHAP
mbona kama connection unayoNgoja nikae hapa , ukiupata niunganishe
Thubutuuu....... kupididiwa mchezo? Bora kufulia kuliko kuwa pididilizedMungu alimtoa mwanae wa pekee Yesu, Ibrahim Alikubali kumwaga ubongo mwanae Isaka.
Wewe upo tayari kupididiwa kwanza ndo "usakrifaizi"?
Kama upo tayari njoo Ibadakuli shinyanga, au malampaka maswa au mwandoya simiyu.
"Microscope" iwe waliotoa manabii wa kwenye biblia.
Karibu.
hivi nikweli utajiri wa aina hii upo..? mbona nimeutafuta sana siupati.?
Nahitaji kufanikiwa ndani yamuda mfupi tu. mwenye hizo connection nitamshukuru sana akinipa muongozo wakufanikisha hilo jambo. umasikini mateso sana
NATAKA PESA ZACHAP CHAP
Umalila sehem gani mkoa upi nije nichote mahelaNjoo umalila dingilai hautajutia