Utajiri wa Lowassa unavyoyatesa makanisa

Utajiri wa Lowassa unavyoyatesa makanisa

rafiki yetu karugendo,kama una ushahidi wa ufisadi wake wewe tuletee ili tumshughulikie

Hivi unaishi Tanzania au Kosovo? Mtu asiyejua kama Lowasa ni fisadi basi hajui kama uanaishi au nusu mfu
 
Hivi ndugu zangu karugendo c ndie alie kuwa pandi wa kanisa katoli akazaa na mwanamke kisha akafunzwa? Au ni mwingine anaandika makala kwenye gazet la raia mwema?
 
umeongea la maana ndugu yangu, kwani nguvu ya pesa ni aina moja ya pepo ambalo wengi wameshawishika na kujitakuta wamezama huko na wala hofu ya Mungu haimo ntena mioyoni mwao
Lowassa anapiga kote kote nguvu ya fedha ni nguvu ya giza hupendwa na na wengi kwani hakuna kuabudu Mungu tena bali vito, thamani na fedha
 
prudencekarugendo@yahoo.com 0784 989 512

Ndugu prudence;uchambuzi wako hauko realistic pia napata wasiwasi na uelewa wako. Watu kumtuhumu mtu si kigezo cha kuwa mtu huyo tayari ni mkosaji na hasa ukizingatia mazingira ya kisiasa nchi Tanzania. Kwani wewe hujawahi kushutumiwa na watu maishani mwako?je ni kweli kuwa yote ambayo watu waliokaribu na wewe wanasema juu yako ni ya kweli? unasema hata wewe ukiambiwa uthibitishe ufisadi wa lowassa huwezi, iweje uyatake makanisa yamchukulie yeye kama fisadi?. Tuthibitishie ufisadi wa lowassa,toa takwimu za utajiri wake unaodai anawao kiasi cha kuitikisa nchi. au wivu ndo unakusumbua?. Nani kakuambia kuwa pesa zote katika harambee anatoa yeye?.kuhamasisha watu wachangie maendeleo ni kosa?. Nakushauri ndugu yangu kuwa na mawazo huru. zingatia hoja zaidi kuliko mihemko ya watu.
Mimi binafsi namkubili lowassa kwa kila anachoongea ni realistic.nani hajui kuwa elimu ni tatizo Tanzania?.matatizo yanayowakabili machinga yapo wazi. Ishitoshe katika nchi inayozinagatia utawala wa sheria,mahakama ndo chombo kilicho eligible kumtia mtu hatiani. Hayo yote juu ya lowassa ni wazi ni chuki,wivu na kutapatapa. The guy is charismatic and seem to be serious na ana uchungu na matatizo ya watu.
Ushauri kwa Lowassa
Mheshiwa (lowassa) usivunjwe moyo wa watu wenye mawazo finyu.Endelea kuhimiza watu katika maendeleo. Watapigana lakini hawatakushinda.Ushawishi wako na kukubalika kwako ni wazi kuwa Mungu yupo upande wako. Pia watu wote makini wapo na wewe. Stay blessed.

Mpendwa wangu, mimi si Karugendo ila nna maswali mengi ya kujiuliza juu ya ufadhili huu:
1. Utajiri huu wa mpendwa Lowasa unatokana na vyanzo vipi? Rejea: Karibu kila Jumapili anachangia mamilioni somewhere, kanisani na sasa misikitini huku akitaja kuwa yeye na marafiki zake. Hao marafiki ni watu halisi? Hatujawahi kumsikia amewatambulisha. Vyanzo hivyo ni halali kiasi gani? Mapato (rather faida) yatokanayo na vyanzo hivyo ni makubwa sana basi! Analipia kodi kiasi gani?
2. Motive ya uchangiaji: Ni kweli kwamba motive ni uchangiaji kutaka kupambana na umaskini au lack of resources zilizopo au kuna jambo nyuma ya pazia? Ikumbukwe huyu mtu ameshahusishwa na urais mwaka 2015...Je, hizo si kampeni za kisiasa makanisani, misikitini na kwa disadvantaged? Hii si manipulation?
3. Binafsi namheshimu sana Lowasa kama ambavyo nakuheshimu ndugu unayemtetea. Wasiwasi wangu nakuja pale tunapotumia vibaya nafasi na kujitetea eti hatuuoni umasikini wa waendesha bodaboda/wamachinga. Umasikini huu tunauona leo? kwa nini leo na si jana?

Watanzania wenzangu natoa wito tufike mahali pa kuiita dhambi dhambi bila ya kujali imefanywa na nani. Tusije tukafika mahali pa kuiuza nchi kwa misingi ya njaa ya leo...tukumbuke tuna watoto...historia itakuja kutuhukumu tusipotenda haki na haki tupu. Hakuna sababu ya kumhukumu mtu mdogo na kumwacha mkubwa
 
This is too personal! Kumbuka: Weak minded people discuss about others, strong minded persons discuss about issues! Rudi kwenye hoja. Ukishajua kuwa ndiye, kisha? Rudi kwenye hoja ya msingi, friend!
 
Acha wivu kama nawe unataka upete hela zake anzisha kanisa acha ujinga na majungu
 
unaweza kutuambia sababu 1,2,3 za lowwasa kujiuzulu?
km alikuwa hana tuhuma,ni waz anawajua mafisad wenzake,mbona hakuwataja?
ww hata umpende vip,watz wote wanajua lowasa FSD,hafai kuongoza hata nyumba 10!

Mtz mwenzangu huyu jamaa anakubalika sana na watz japo ana kashfa. That z reality
 
Mbona watushangaza? huyo Mh anaweza kuwa fisadi au sio fisadi sisi watu wa kawaida hatujui utajiri alio nao Lowassa, labda atuambie yeye kama hana akaunti huko Uswisi. La msingi ni kuwa alikuwa waziri mkuu na akashindwa kuwajibika! Ndio sababu akaachia ngazi. Lile la kuwafukuza wazung wa DAWASCO alifaulu lakini la Richmond likamshinda. Sasa kujipitisha pitisha makanisani na misikitini linatutatiza kwani yeye kama mwanasiasa anachotafuta huko ni nini? Apande kwenye majukwaa atuambie wananchi la Richmond lilinishinda lakini mkinipa kura nitakuwa Raisi wenu mchapa kazi na sitarudia maksosa kama yale ya Richmond.
Talanta aliyo nayo ni kama ya Mh Lyatonga Mrema!

Richmond ndiyo aliyoitembelea Obama but jina ni Symbion. Hii inadhihirisha mitambo ilikuwa poa. Chuki za wabongo ndiyo zilimchafua. But jamaa anakubalika vilivyo Mkuu.
 
Inakuwa kama hii!!!!

Hungry hyena.jpg

Kuna vitu vingine wewe fisi ukivitamani lakini ukawa huna uwezo kuvimiliki usikenue meno.
 
😛ainkiller::mwaaah::mwaaah::mwaaah: Nipo kwenye penzi zito na chama changu cha mapinduzi
 
ndo maana makanisa siku hizi yanachomwa moto make yamejiingiza kwenye siasa tena si za kuwaokoa watu bali za kinafiki alafu wakadhani watabaki salama ..kama wanaruhusu ujinga huu ni bora yachomwe moto make sisi tunalia na wezi wetu wao ndo hao hao wanaowatukuza madhabauni
 
Viongozi wetu hawa wa Dini wamepoteza mwelekeo kabisa na ni janga kubwa kuruhusu uovu huu wa kupokea fedha za mafisadi
Lowassa anapiga kote kote nguvu ya fedha ni nguvu ya giza hupendwa na na wengi kwani hakuna kuabudu Mungu tena bali vito, thamani na fedha
 
Wabongo fitina kweli hela za lowasa na ufisadi wapi na wapi acheni hzo
 
Makanisa yamekuwa dampo la kusafishia uovu ili mradi pesa zipatikane. Dini inspokuwa hivi si kingine ila ushetani tu. Si makanisa si misikiti. Hsta makanisa yaliyokuwa na uadilifu na kutojihusisha na maswala ya wanasiasa kama wasabato siku hizi nao wameingia kwenye mkumbo huu.
RC, Lutheran, Anglican, Moravian na waprotestanti wengine ndio kabisa. Ukiwaonyesha pesa hata kama zimelowa damu watachukua tu. Walokole sasa na ulokole wao unoota ndevu za panya zisizokuwa na umri wala utaratibu ndiko hasa wanahitaji hizo pesa hata kama zimeibwa jana na kwa vile hawana mkubwa wala mdogo kila anayejua kuongea kwa sauti ya kukwaruza ayajiita nabii. mtume na mpakwa mafuta. Mpakwa mafuta hakosei akialika mafisadi inamaana Mwenyezi Mungu kabariki. Watu wale wa mtume asiyejua kusoma wala kuandika ndio basi, wao mwenye hela ndiye baba.
Kwa ufupi dini ni kichaka cha kuficha maovu na kwa vile bara Afrika bado tunasikiliza hawa wanafiki na kuwapa heshima watatumaliza kwa kushirikiana na watawala wanaowaonesha noti.
 
Back
Top Bottom