Nini Pendekezo lako Mwitongo.
Tumesikia Rais msataafu Mwinyi nae anamajumba ya kukodisha? Tatizo lipo wapi?Hii ni chachandu tu! Mlo kamili upo Makongo Juu ndugu zangu!!
Ndugu zangu, juzi nimefika Makongo Juu. Nilionyeshwa mahekalu ya Daniel Yona hadi nikaogopa.
Amejitwalia eneo kubwa mno. Kajenga mahekalu mengi. Mengine anaishi, mengine amepangisha wazungu. Nikaambiwa mengine ni ya mkewe. Pia kuna shule ambazo ni mali yao. Utajiri huu jamani si wa kawaida.
Hivi kweli makabwela wa nchi hii watakubali wizi huu hadi lini? Anayetaka na afike eneo hilo ajionee haya ninayosema. Inakera sana, hasa wakati huu ambao watoto wetu hawana madawati, maabara wala mlo wa uhakika. Lazima tuchukue hatua za kurejesha mali hizi!
Nawasilisha
ungeanza kutoa wewe au we ni kilaza kila kitu utafuniwe tu.toa pendekezo nini kifanyike kama mahakama aiwezi kutenda haki kwenye hili.
Ndugu zangu, juzi nimefika Makongo Juu. Nilionyeshwa mahekalu ya Daniel Yona hadi nikaogopa.
Amejitwalia eneo kubwa mno. Kajenga mahekalu mengi. Mengine anaishi, mengine amepangisha wazungu. Nikaambiwa mengine ni ya mkewe. Pia kuna shule ambazo ni mali yao. Utajiri huu jamani si wa kawaida.
Hivi kweli makabwela wa nchi hii watakubali wizi huu hadi lini? Anayetaka na afike eneo hilo ajionee haya ninayosema. Inakera sana, hasa wakati huu ambao watoto wetu hawana madawati, maabara wala mlo wa uhakika. Lazima tuchukue hatua za kurejesha mali hizi!
Nawasilisha
Ufisadi mkubwa wa BWM aliufanya kwa kushirikiana na huyu bwana na Kigoda,na walikuwa maswaiba katika madili,ndiyo chanzo cha utajiri wao wa kutishaIle kampuni yake na BWM inaitwaje?
Si nasikia walijiuzia ule mgodi kwa bei ya kutupwa???
toa pendekezo nini kifanyike kama mahakama aiwezi kutenda haki kwenye hili.