Baba benazir
Member
- Nov 23, 2018
- 41
- 63
Unaweza kuthibitisha?asilimia themanini ya matajiri mikoa ya nyanda za kusini wanatumia uchawi.
Unaweza kuthibitisha?asilimia themanini ya matajiri mikoa ya nyanda za kusini wanatumia uchawi.
Hivi 2011 ulikuwa mkoa tayari?Mtoa post, Tafadhali Sana,Njombe sio Wilaya iliyopo Mkoa wa Iringa, Bali yenyewe ni mkoa. Na Makete ni Wilaya ktk Mkoa wa Njombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati narusha hii thread Njombe ilikuwa sehemu ya IringaMtoa post, Tafadhali Sana,Njombe sio Wilaya iliyopo Mkoa wa Iringa, Bali yenyewe ni mkoa. Na Makete ni Wilaya ktk Mkoa wa Njombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Billionaire club ni hatari sana mtu anaota funza kichwani daahh.Mwenye nafasi atafute filamu moja ya kinaigeria inaitwa Billionaires club, nadhani hakuna atakaebishana na mtoa mada, haya mambo yapo ila pesa yake inakuwa na mwisho mbaya na ni lazima igharimu damu za watu wasio na hatia.
Kuna sehemu nyingine huko kwa wandengereko kunaitwa ngende,ukitaka kuwa tajili lakini uwe unavaa kaniki na kandambili unakaribishwa sana na hata Ulaya utakiwi kwenda wala hotel ya kitalii hurusiwi kuingia na wala mwanamke mrembo hurusiwi kufanya nae mapenzi, na kafara ni lazima umtoe mama yako mzazi na mtoto wako kipenzi.
Umepataje hiyo 80%asilimia themanini ya matajiri mikoa ya nyanda za kusini wanatumia uchawi.
Wakati narusha hii thread Njombe ilikuwa sehemu ya Iringa
Hiyo nimewahi kuiskia hata njombeHahahaaah kuna siku natoka zangu disco alfajir pale mafinga tunarudi town tulipanda coaster kuna mzee ilipofika zamu yake kulipa kijiti kikadondoka kikageuka ka binaadamu kadogodogo kana bonge la afro na kamevaa pensi ya zambarau na kananuka hatari, kisha akaanza kuweweseka abiria fumbeni macho kum***zake...
Kumbe widambe naye ana mizizi??Mkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana hususani wakinga na wabena ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.
Miongoni mwa watu/kampuni/biashara nilizopata fununu kuwa zinatokana na miujiza ya mwakipande ni
Sayuni mmiliki alikuwa akiitwa Mahenge-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Kiswele-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Jah people-Malori-mmiliki ni mbunge wa ccm
Widambe-Mabasi Njombe-Dar
Igesa line n.k
Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?
yeye jeMkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana hususani wakinga na wabena ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.
Miongoni mwa watu/kampuni/biashara nilizopata fununu kuwa zinatokana na miujiza ya mwakipande ni
Sayuni mmiliki alikuwa akiitwa Mahenge-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Kiswele-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Jah people-Malori-mmiliki ni mbunge wa ccm
Widambe-Mabasi Njombe-Dar
Igesa line n.k
Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?
Fungukeni masharti yake yakoje
Nini kiliendelea baadae?Hahahaaah kuna siku natoka zangu disco alfajir pale mafinga tunarudi town tulipanda coaster kuna mzee ilipofika zamu yake kulipa kijiti kikadondoka kikageuka ka binaadamu kadogodogo kana bonge la afro na kamevaa pensi ya zambarau na kananuka hatari, kisha akaanza kuweweseka abiria fumbeni macho kum***zake...