Wazalendo_Tz
Member
- Jul 7, 2026
- 17
- 25
Sidhani kama kuna mtu anajua ukweli wewe inatakiwa kufanya jambo ambalobunaliona ni sahihi na lakumpendeza Mungu wako.Ukweli ni upi kuhusu utajiri na kutoa sadaka za mali kwa kuwapa mayatima au watu wenye mahitaji maalumu nakumbuka niliwahi Mfata tajiri mmoja wa viwanda hapa nnchi nikamuambia jinsi naendesha biashara yangu lakin sion mafanikio akaniambia toa sadaka halafu usitangaze utafanikiwa nikabaki nashangaa maan naona matajiri wengine wakitoa sadaka wanatangaza na kuwarekodi nikikumbuka kutoa ni kupungukiwa je ukweli ni upi wakuu
Point yako ni ipi mkuuFanya kazi
Elon musk hajapeleka rocket angani kwa kuchinja kuku mweusi.
Kama ingekuwa kutoa sadaka pesa mnazopeleka kwa wachungaji wenu feki na mashehe ubwabwa, mbuzu mnazochinja kwa waganga basi mngekuwa nyie ni bara lenye utajiri mkubwa ila ndio mnaongoza kwa umasikini wa kupitiliza
Miguuu miwili unamaanisha kanga roo au kukuKwenye ulimwengu wa kiroho kutoa sadaka ni miongoni mwao misingi mikubwa ya mafanikio
Rejea amri ya mwenyezi Mungu juu ya kutoa kafara kwa nabii Ibrahim kwa mwanae
Sasa basi shida sio kutoa sadaka shida ni kutoa sadaka na iwafikie walengwa
Epuka kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada mana watumishi ndio wanufaika namba moja
Muangalie Saidi lugumi anatoa misaada direct kwa kukaa na yatima
Nini nataka kukuambia
Ni kwamba toa sadaka lakini jitahidi sana kutoa kafara ya kuchinja wanyama wakubwa
Hapo ndipo kwenye siri ya utajiri
Wafanya biashara wanachinja
Wamiliki wa mabus wanachinja sana tu
Bakhressa pia wanachinja
Mkuu mafanikio yapo kwenye kafara
Ila usitoe kafara ya miguu miwili
Yes! MUNGU anaangalia moyo sio wingi wa vitu!Imani
Kafara ya miguu miwili ni binadamu mkuuMiguuu miwili unamaanisha kanga roo au kuku
Hata binadamu ana miguu miwili. kamwe usimtoe binadamu mwenzio kama sadakaMiguuu miwili unamaanisha kanga roo au kuku
Hahaha hl swal lak lmenkumbusha mambo ya bipedalism.Miguuu miwili unamaanisha kanga roo au kuku
binadamuMiguuu miwili unamaanisha kanga roo au kuku