kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,184
VP bado uko na hiyo business hapo nine chukua uzoefu??
Umenifungua akili sana mkuu lakin nina tatzo moja uwa navutiwa na kila wazo jema na nataman nifanye kila nalosoma kwa wakati huo ila mpaka sasa sjafanya ata moja
*MORNING GREETINGs VIBE*Umenifungua akili sana mkuu lakin nina tatzo moja uwa navutiwa na kila wazo jema na nataman nifanye kila nalosoma kwa wakati huo ila mpaka sasa sjafanya ata moja
Nilianza kwa kununua Tandika ila mafuta niliagiza toka Singida direct,ila kutokana na kukutana na watu wengi pale Tandika now i have a connection naweza kuagiza gunia zangu mbili tatu kwenye gari direct from Mbeya or Shinyanga. Biashara ni kucheka na watu na kujifanya mjinga lakini mwenye maarifa mapana.Mkuu bidhaa unanunuaga wapi kwa jumla?
Wanasemaga fanya unachokipenda lakini kwangu mimi hata nisichokipenda nakifanya kama kinamanufaa, amua kipi kitakua na manufaa kwako na ufanye.Umenifungua akili sana mkuu lakin nina tatzo moja uwa navutiwa na kila wazo jema na nataman nifanye kila nalosoma kwa wakati huo ila mpaka sasa sjafanya ata moja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sio Ontario uyu?