Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Kibailojia hakuna uthibitisho wowote kama ilivyo kwa mwanamke...
Estakafaulaya...................... Babu Dark City, vizimba tena?Hii dunia ya JF haiishi vituko mdogo wangu...
Itabindi wanaume wa dotcom waanze kutegeneza vizimba ili tuwatambue...lol!!
Babu DC!!
Hii dunia ya JF haiishi vituko mdogo wangu...
Itabindi wanaume wa dotcom waanze kutegeneza vizimba ili tuwatambue...lol!!
Babu DC!!
mbona mimi ninaaibu kwa wanawake lakini ni mtaalamu balaa!unaweza kumjua kwasababu ya
- expressions zake zinaonesha kwamba yeye ni mgeni katika maeneo hayo.ni kama mtoto mdogo aliyeona kitu kipya asichokifahamu au anayejifunza kitu kigeni anakuwa "wowed" au "amused" na vitu vya kawaida ambavyo watu waliobobea katika fani hio wameshavizoea kwahio hawashangazwi.
- vile vile anakuwa na tabia ya kusita na kujidoubt ktk kila step,kama njia ya kujiuliza am i doing this right?
- aibu na uwoga hutawala zaidi pia ......
Estakafaulaya...................... Babu Dark City, vizimba tena?
Najaribu kufikiria kuwa labda ubikira wa mwanaume ungetambulika kwa uume kuwa na layers mbili za ngozi...
Ikitumika mara moja tu basi ngozi ile ya juu inapotea na kuiacha inayofuatia na hapo mwanaume anapoteza ubikira...
Hahahah!!
me najua akikosea kuingiza ndo bikra... kwenda kuchungulia wakati wa kukojoa ndo nitaonaje loh na sa ngapi?
Utajua tu kwa jinsi atakavyokuwa anafurukuta kutafuta sehemu uchi ulipo wengine unaweza shitukia amepeleka dudu lake kwenye tigo
Khaaa! Dume Zima Bikra?? Mie sio VETA malena wa kazi gani!!
Ha ha ha ha Bina
Kwa umri wanu nikikutana na bikra wa kiume lazima nimtoe kafara, itakuwa dalili ya utajiri wa kimazingaombwe.
Haya yanawahusu fomu wani Biii
Ila watoto wa mjini siku ya kwanza anaomba kufanya salting process, ndio utashangaa kajuaje
Unaweza kumjua kwasababu ya
- expressions zake zinaonesha kwamba yeye ni mgeni katika maeneo hayo.Ni kama mtoto mdogo aliyeona kitu kipya asichokifahamu au anayejifunza kitu kigeni anakuwa "WOWED" au "AMUSED" na vitu vya kawaida ambavyo watu waliobobea katika fani hio wameshavizoea kwahio hawashangazwi.
- Vile vile anakuwa na tabia ya kusita na kujidoubt ktk kila step,kama njia ya kujiuliza AM I DOING THIS RIGHT?
- Aibu na uwoga hutawala zaidi pia ......
kho kho kho kho mmmh sijasema hay maneno
Kwa kawaida mwanaume anapokutana na binti bikra ambaye hajawahi kuguswa na mwanaume atajua tu kwa sababu ya kile kitakachotokea baada ya tendo. Lakini swali ambalo nimekuwa nikijiuliza siku nyingi ni kuhusu kuwajua wanaume ambao katu hawajawahi kushiriki tendo la kujamiiana na mwanamke.
Hivi utajauaje kwamba mwanaume ni bikra?
Hakuna mwanaadamu asiyekuwa na aibu lakini hapa naongelea aibu ile isiyo ya kawaida!!mbona mimi ninaaibu kwa wanawake lakini ni mtaalamu balaa!