Utaipata kwa Laki...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,100
Reaction score
1,955
..John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.

Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred: "Umekipenda ulichokiona?"
Fred: "Ndiyo".
Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.

Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo, alipita hapa mara moja".
John: "Safi, alikuachia laki moja?"
Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".
 
Hahahahahaaaaaa kweli jamaa kichwa sana kwa ku trick
 
Jamaa kala mzigo Bureeeeeeeeeeeeeeeeee
 
ha ha ha haaah!!! Jamaa ana akili sana.
 
salute mkuu, nimeikubali na inafaa kwa application kwenye real life!
 
Du hii itakuwa ya mwaka 2011, aisee hongera sana you must be mathematician
 
Kwa hiyo alikula Mbunye ya bure kabisa!!! Duuh hii kali ya mwaka 2012
 
Kwikwikwikwikwikwi!!!!
psesepseriiimakitooo!!!
wiiiiiiiiii mbavu zaniuma mie
hahahahahahahahahahahahahahahah!!!!
 
Hii kwangu ni kali ya mwaka,dah! Demu atukuwa amejisikia vibaya sana,hapo kamegwa bureeeee, kwa hela ya mumewe.
 
aiseeeeeeeee hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaa huyu ni mhasibu itakuwa kafanya Contra
 
achahahahahaaaaaaaaa.....kagawa mali bwererereeeeeeeeee....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…