Hebu tuwasome wenye mamlaka wanasemaje?Rasimu ya Jaji Warioba au ya katiba?na je ni rasimu ya tume ya warioba au tume ya raisi?
Na huyu genius naye ulimsikia?mtu mwenye zaidi ya miaka 100 kama kingunge bado unaamini aweza kufikiria vema ?
Kwa ajili ya uzalishaji wa chakula kuwa mzuri, mwaka huu Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula wameweza kununua tani 233,689.8 za nafaka hadi kufikia Desemba 27, 2013 kiasi ambacho hakijawahi kufikiwa miaka ya nyuma. Mwaka 2012 wakati kama huu Wakala ilikuwa na kiasi cha tani 93,047.8 tu na kutulazimisha kutafuta chakula nje ya nchi. Kwa ajili hiyo tulilazimika kuruhusu wafanyabiashara kuagiza mahindi, mchele na sukari kutoka nje kwa nafuu ya kodi. Uamuzi huo umesaidia nchi kuwa na chakula cha kutosha na kuuzwa kwa bei nafuu kwa walaji
Nape alisema kingunge anasubiri kufa.
5) kubembeleza muungano kwa pesa NyingiMimi nitaikumbuka CCM kwa
1) Wizi wa kura,
2) Vijembe na kebehi,
3) Wizi wa mali ya umma,
4) Rushwa iliyokithiri,
binafsi nitaikumbuka CCM kwa kunipigisha kwata kwenye halaiki na kuniimbisha nyimbo za kizalendo wakati ule na SASA naichukia kwa dhaati kabisa baada ya kuuza rasilimali za nchi kwa bei chee....Nitaikumbuka CCM kama chama kilichoshindwa kutuletea maendelea ingawa Mwenyeezi Mungu ametupa Rasilimali za kipekee na za kila aina kwa maendeleo ya vitu na watu!!! RIP CCM ..you ll die just like any other cowards ...Ni dhahiri harakati zinazofanya na vyama vya siasa vya upinzani kwa ujumla wake zinatishia uhai wa ccm pamoja na ccm kutumia mbinu za kihafidhina na kuwatumia makukulimbwe kama Mwigulu bado uhai wake ccm umeteteleka.
Kiti kiko wazi wa upinzani.unadhani utaikumbuka ccm kwa lipi liwe jema ama baya.
Mimi kama mimi nitaikumbuka ccm kwa kuweza kuwadanganya wananchi bila woga.
""Where we dare to talk openly""
Nitaikumbuka CCM kwa kuharb mfumo wa elimu tz pa1 na kuwapuuza walimu.
uhuru wa maoni
binafsi nitaikumbuka CCM kwa kunipigisha kwata kwenye halaiki na kuniimbisha nyimbo za kizalendo wakati ule na SASA naichukia kwa dhaati kabisa baada ya kuuza rasilimali za nchi kwa bei chee....Nitaikumbuka CCM kama chama kilichoshindwa kutuletea maendelea ingawa Mwenyeezi Mungu ametupa Rasilimali za kipekee na za kila aina kwa maendeleo ya vitu na watu!!! RIP CCM ..you ll die just like any other cowards ...