Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
Ni dhahiri harakati zinazofanya na vyama vya siasa vya upinzani kwa ujumla wake zinatishia uhai wa ccm pamoja na ccm kutumia mbinu za kihafidhina na kuwatumia makukulimbwe kama Mwigulu bado uhai wake ccm umeteteleka.

Kiti kiko wazi wa upinzani.unadhani utaikumbuka ccm kwa lipi liwe jema ama baya.

Mimi kama mimi nitaikumbuka ccm kwa kuweza kuwadanganya wananchi bila woga.

""Where we dare to talk openly""
 
Wewe na mwenyekiti wako huyu mnashida sana.
 
kwa upande wangu nitaikumbuka kwa kungoa watu kucha na meno,kufanywa mgumba,minikabang wanaume wa mtwara,tembo wetu kupata soko china,watoto wa vigogo kuuza sembe
 
Nitaikumbuka CCM kwa kuwa ndani ya Utawala wake maajabu haya yameweza kutokea ndani ya nchi yetu
1. Ni wapi isipokuwa Tanzania utamsikia waziri wa Nishati na madini akijiapiza kwa miungu yake kwamba hakuna mgawo wa umeme wakati kila siku tunaona umeme ukikatika sehemu tofauti kwa muda mrefu za ukiuliza unaambiwa wanarekebisha miundo mbinu wakati kwa akili ya kitoto tu huo ni mgawo wa umeme, kwetu mgawo ni mgawo tu iwe wameshindwa kuilipa DOWANS au iwe ukarabati wa miundombinu, iwe hitlafu ya mitambo au kushuka kwa kina cha maji.

2. Ni Tanzania pekee ambako utakuta wanafunzi hawana madawati wanakaa chini na wengine kwenye vyumba visivyostahili kuitwa vyumba kwa ubovu na uchakavu pia hata umeme hakuna lakini ukasikia ahadi ya kila mwanafunzi kupewa Komputa(Laptop)

3. Haijawahi kusikika popote ulimwenguni kwamba kuna mhitimu aliyefaulu mtihani wake tena wa maandishi huku yeye hajui kusoma wala kuandika isipokuwa Tanzania.

4. Ni wapi duniani Kiongozi wa chama tawala atawaambia wananchi wake hajui chanzo cha umasikini wao kisha akarudi katika uchaguzi na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtu halafu akapeta katika huo uchaguzi, hii ipo Tanzania pekee ambapo watu wanakichagua chama hicho kwa miaka dahari licha ya ukweli chama hicho hakijajua sababu ya umasikini wao.

5. Hakuna sehemu duniani ambako watu kusahau ni sehemu ya maisha yao ni Tanzania pekee yanaweza yakatokea kama yaliyomkuta Dr. Ulimboka watu wakajidai kupata kiwewe halafu ndani ya mwezi mmoja watu wamesahau kabisa wengine kudai kujiuliza Dr. Ulimboka ni nai?

6. Hii ipo Tanzania tu anaweza kuibuka babu akawaambia nimezungumza na Mungu na amempa dawa na watu wakapanga foleni kama wasio na akili nzuri kwenda kupata muujiza wa mungu unaouzwa kwa shilingi 500 mungu wa wapi anafanya biashara zama hizi.

7. Ni wapi duniani unakuta barabara iliyotengenezwa kwa minajiri ya njia mbili yaani kwenda na kurudi lakini serikali inaamua zigeuzwe ziwe njia tatu yaani mbili za kwenda na moja ya kurudi bila upanuzi wa barabara hiyo kama unabisha nenda Dar ukatembelee barabara ya Ali H.Mwinyi ujionee siasa zinavyoweza kufanya kazi ya kitaalamu hakuna anayeshangaa licha yaugumu kwa magari kushindwa kupishana njia ya kati, pia nauliza ni wapi duniani utakakokuta njia rahisi na salama inayokubalika na askari wa usalama barabarani kuruhusu magari yapite njia zote mbili kuelekea upande mmoja?

8. Maajabu yapo mengi mno na ya kushangaza bado hatujaingiza yale ya Chenji ya RADA, Twiga kupakiwa kwenye ndege kwenda ughaibuni, Polisi kutuhumiwa kuua kisha wenyewe kuunda tume kuchunguza na wakati tume inachunguza mtuhumiwa yuko mahakamani, nyingine ya kushangaza waziri kuunda tume baada ya kuambiwa hana mamlaka anasema ameunda kamati na vyombo vya habari viko kwenye usingizi wa pono, biashara inaendelea kama hakuna lililotokea hii ni Tanzania na Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
 
Mimi nitaikumbuka CCM kwa
1) Wizi wa kura,
2) Vijembe na kebehi,
3) Wizi wa mali ya umma,
4) Rushwa iliyokithiri,
 
Kumng'oa meno na kipigo cha ullimboka!!

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
wauza madawa ya kulevya, twiga na rasilimali zetu zingne pia mwenyekiti wao kutojua kwa nini sisi ni maskini
 
Nitaikumbuka CCM kwa kuwa ndani ya Utawala wake maajabu haya yameweza kutokea ndani ya nchi yetu
1. Ni wapi isipokuwa Tanzania utamsikia waziri wa Nishati na madini akijiapiza kwa miungu yake kwamba hakuna mgawo wa umeme wakati kila siku tunaona umeme ukikatika sehemu tofauti kwa muda mrefu za ukiuliza unaambiwa wanarekebisha miundo mbinu wakati kwa akili ya kitoto tu huo ni mgawo wa umeme, kwetu mgawo ni mgawo tu iwe wameshindwa kuilipa DOWANS au iwe ukarabati wa miundombinu, iwe hitlafu ya mitambo au kushuka kwa kina cha maji.

2. Ni Tanzania pekee ambako utakuta wanafunzi hawana madawati wanakaa chini na wengine kwenye vyumba visivyostahili kuitwa vyumba kwa ubovu na uchakavu pia hata umeme hakuna lakini ukasikia ahadi ya kila mwanafunzi kupewa Komputa(Laptop)

3. Haijawahi kusikika popote ulimwenguni kwamba kuna mhitimu aliyefaulu mtihani wake tena wa maandishi huku yeye hajui kusoma wala kuandika isipokuwa Tanzania.

4. Ni wapi duniani Kiongozi wa chama tawala atawaambia wananchi wake hajui chanzo cha umasikini wao kisha akarudi katika uchaguzi na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtu halafu akapeta katika huo uchaguzi, hii ipo Tanzania pekee ambapo watu wanakichagua chama hicho kwa miaka dahari licha ya ukweli chama hicho hakijajua sababu ya umasikini wao.

5. Hakuna sehemu duniani ambako watu kusahau ni sehemu ya maisha yao ni Tanzania pekee yanaweza yakatokea kama yaliyomkuta Dr. Ulimboka watu wakajidai kupata kiwewe halafu ndani ya mwezi mmoja watu wamesahau kabisa wengine kudai kujiuliza Dr. Ulimboka ni nai?

6. Hii ipo Tanzania tu anaweza kuibuka babu akawaambia nimezungumza na Mungu na amempa dawa na watu wakapanga foleni kama wasio na akili nzuri kwenda kupata muujiza wa mungu unaouzwa kwa shilingi 500 mungu wa wapi anafanya biashara zama hizi.

7. Ni wapi duniani unakuta barabara iliyotengenezwa kwa minajiri ya njia mbili yaani kwenda na kurudi lakini serikali inaamua zigeuzwe ziwe njia tatu yaani mbili za kwenda na moja ya kurudi bila upanuzi wa barabara hiyo kama unabisha nenda Dar ukatembelee barabara ya Ali H.Mwinyi ujionee siasa zinavyoweza kufanya kazi ya kitaalamu hakuna anayeshangaa licha yaugumu kwa magari kushindwa kupishana njia ya kati, pia nauliza ni wapi duniani utakakokuta njia rahisi na salama inayokubalika na askari wa usalama barabarani kuruhusu magari yapite njia zote mbili kuelekea upande mmoja?

8. Maajabu yapo mengi mno na ya kushangaza bado hatujaingiza yale ya Chenji ya RADA, Twiga kupakiwa kwenye ndege kwenda ughaibuni, Polisi kutuhumiwa kuua kisha wenyewe kuunda tume kuchunguza na wakati tume inachunguza mtuhumiwa yuko mahakamani, nyingine ya kushangaza waziri kuunda tume baada ya kuambiwa hana mamlaka anasema ameunda kamati na vyombo vya habari viko kwenye usingizi wa pono, biashara inaendelea kama hakuna lililotokea hii ni Tanzania na Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.

Hilo la twiga ni balaaa.
 
Naikumbuka kwa ujasiri wao wa kuwadanganya na kuwafilisi wa Tz kwa zaidi ya miaka 51
 
Naikumbuka kwa ujasiri wao wa kuwadanganya na kuwafilisi wa Tz kwa zaidi ya miaka 51
REST IN HELL YOU SISIEMU
 
CCM itaitawala TANZANIA milele, hata baada ya 2015, kila mara watanzania wanaikumbuka CCM kwa umoja mshikamano na Amani.
 
1.sekondari za kata 2.umeme 3.maji 4.barabara za lami toka mtwara hadi mwanza 5.maisha bora
 
itakumbukwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia pamoja ma ufisadi wa kutisha!
 
nitaikumbuka ccm kwa kuwa ndani ya utawala wake maajabu haya yameweza kutokea ndani ya nchi yetu
1. Ni wapi isipokuwa tanzania utamsikia waziri wa nishati na madini akijiapiza kwa miungu yake kwamba hakuna mgawo wa umeme wakati kila siku tunaona umeme ukikatika sehemu tofauti kwa muda mrefu za ukiuliza unaambiwa wanarekebisha miundo mbinu wakati kwa akili ya kitoto tu huo ni mgawo wa umeme, kwetu mgawo ni mgawo tu iwe wameshindwa kuilipa dowans au iwe ukarabati wa miundombinu, iwe hitlafu ya mitambo au kushuka kwa kina cha maji.

2. Ni tanzania pekee ambako utakuta wanafunzi hawana madawati wanakaa chini na wengine kwenye vyumba visivyostahili kuitwa vyumba kwa ubovu na uchakavu pia hata umeme hakuna lakini ukasikia ahadi ya kila mwanafunzi kupewa komputa(laptop)

3. Haijawahi kusikika popote ulimwenguni kwamba kuna mhitimu aliyefaulu mtihani wake tena wa maandishi huku yeye hajui kusoma wala kuandika isipokuwa tanzania.

4. Ni wapi duniani kiongozi wa chama tawala atawaambia wananchi wake hajui chanzo cha umasikini wao kisha akarudi katika uchaguzi na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtu halafu akapeta katika huo uchaguzi, hii ipo tanzania pekee ambapo watu wanakichagua chama hicho kwa miaka dahari licha ya ukweli chama hicho hakijajua sababu ya umasikini wao.

5. Hakuna sehemu duniani ambako watu kusahau ni sehemu ya maisha yao ni tanzania pekee yanaweza yakatokea kama yaliyomkuta dr. Ulimboka watu wakajidai kupata kiwewe halafu ndani ya mwezi mmoja watu wamesahau kabisa wengine kudai kujiuliza dr. Ulimboka ni nai?

6. Hii ipo tanzania tu anaweza kuibuka babu akawaambia nimezungumza na mungu na amempa dawa na watu wakapanga foleni kama wasio na akili nzuri kwenda kupata muujiza wa mungu unaouzwa kwa shilingi 500 mungu wa wapi anafanya biashara zama hizi.

7. Ni wapi duniani unakuta barabara iliyotengenezwa kwa minajiri ya njia mbili yaani kwenda na kurudi lakini serikali inaamua zigeuzwe ziwe njia tatu yaani mbili za kwenda na moja ya kurudi bila upanuzi wa barabara hiyo kama unabisha nenda dar ukatembelee barabara ya ali h.mwinyi ujionee siasa zinavyoweza kufanya kazi ya kitaalamu hakuna anayeshangaa licha yaugumu kwa magari kushindwa kupishana njia ya kati, pia nauliza ni wapi duniani utakakokuta njia rahisi na salama inayokubalika na askari wa usalama barabarani kuruhusu magari yapite njia zote mbili kuelekea upande mmoja?

8. Maajabu yapo mengi mno na ya kushangaza bado hatujaingiza yale ya chenji ya rada, twiga kupakiwa kwenye ndege kwenda ughaibuni, polisi kutuhumiwa kuua kisha wenyewe kuunda tume kuchunguza na wakati tume inachunguza mtuhumiwa yuko mahakamani, nyingine ya kushangaza waziri kuunda tume baada ya kuambiwa hana mamlaka anasema ameunda kamati na vyombo vya habari viko kwenye usingizi wa pono, biashara inaendelea kama hakuna lililotokea hii ni tanzania na tanzania ni zaidi ya uijuavyo.

salute too.
 
Taikumbuka kwa kutoweka hotuba ya karume inayozungumzia muungano.wanaweka ya mwl kila kukicha(
 
Nitaikumbuka kwa kutupatia elimu ya kukariri yaani ya VYETI lakini si katika skills, knowledge and aptitude.
Kuahidi maisha bora kwa kila MTz theoretical kwa miaka 9
Mkuu wa kaya kusafiri Maranyingi zaidi na bila shaka anaweza kuwekwa kwenye the world book of encyclopedia.
Kusema majina ya wauza madawa ya kulevya ninayo hapa magogoni na kushindwa kuyataja.
Majangiri 40 anawafahamu ila hawezi kuwataja eti President anashindwwa? hii inawezekana bongo tu kwingine mmma!
 
Back
Top Bottom