sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
duh...mkuu utaenda zote hizi kwa pamoja??twitter,perfspot,netlog,hi5,tagged,marafiki,bongo5,etc.
najua asilimia kubwa ya wana JF humu ndani pia ni wapenzi wa huu mtandao FB..lakini hivi ulishawahi kujiuliza kwa wewe unaetumia FB,hivi kwa mfano FB ikifungwa ulishawahi jiuliza utahamia network gani?(sisemi kwamba ninahakika itafungwa) ...
Ni mtazamo tu wajameni...!!:confused2:
dah hata mimi nilikuwa siijui hii...ngoja niicheck...I would simply go to the NEW iCombined | Together We Make it Shine because ina vitu vyote vya facebook kama tagging, like, thanks, comments, groups,messaging, mpaka @username. Zaidi ya yote iCombined.tk ni forums. Jambo linalofanya watu kufahamiana zaidi. Bado ni mpya but i'm sure baada ya some time itawaka sana. Fb kufungwa possibility ni ndogo mno.
<br />duh...mkuu utaenda zote hizi kwa pamoja??
Kwani ni lazima niwe kwenye mtandao wowote? Mamia kwa maelf hawapo kwenye mtandao wowote lakini wanadunda tu Kama kawa!
Daaah nimejaribu kujiunga icombined mkuu lakini kili nikitaka kuregister napata msg hii;I would simply go to the NEW iCombined | Together We Make it Shine because ina vitu vyote vya facebook kama tagging, like, thanks, comments, groups,messaging, mpaka @username. Zaidi ya yote iCombined.tk ni forums. Jambo linalofanya watu kufahamiana zaidi. Bado ni mpya but i'm sure baada ya some time itawaka sana. Fb kufungwa possibility ni ndogo mno.
najua asilimia kubwa ya wana JF humu ndani pia ni wapenzi wa huu mtandao FB..lakini hivi ulishawahi kujiuliza kwa wewe unaetumia FB,hivi kwa mfano FB ikifungwa ulishawahi jiuliza utahamia network gani?(sisemi kwamba ninahakika itafungwa) ...
Ni mtazamo tu wajameni...!!:confused2:
Google+
<br />
<br />
zote nimo mkuu